Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 46, Juni 16, 2025

Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 46, Juni 16, 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 16, 2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti itawasilisha taarifa ya Kamati hiyo kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026 na tathmini ya utekelezaji wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2024/2025 pamoja na mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Wakati huo huo, Wabunge wataanza kujadili bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.


 
Back
Top Bottom