Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Sita, Aprili 15, 2025

Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Sita, Aprili 15, 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 15, 2024 bungeni Jijini Dodoma ambapo mjadala wa hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 utahitimishwa.

Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali Serikali.

 
Mgeni rasmi leo nani mkuu zaylisa au mobeto
Maana bunge linakuwaga na wageni rasmi

Ova
 
Back
Top Bottom