Bunge la 12, Mkutano wa Kumi na Tisa, Kikao cha 49, Juni 19, 2025

Bunge la 12, Mkutano wa Kumi na Tisa, Kikao cha 49, Juni 19, 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, leo Juni 19, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Wakati huo huo, wabunge watajadili bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026.

 
Bunge la kusifia sifia huku wanaacha hoja kibao zinazowahusu wananchi moja kwa moja, matumizi mabaya ya rasilimali fedha
 
Hapo mawazo yote yapo kwenye account zao za 200 m wakanunue baiskeli za wapiga kura na hasa kwa wajumbe,
Hiki ndio kipindi pekee kwa wajumbe kula pilau, stay tuned
 
Hapo mawazo yote yapo kwenye account zao za 200 m wakanunue baiskeli za wapiga kura na hasa kwa wajumbe,
Hiki ndio kipindi pekee kwa wajumbe kula pilau, stay tuned
Angela kairuki ametoa 70 kwa kila mjumbe huko kibamba
 
Back
Top Bottom