Bunge La 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha Pili, Tarehe 01 Aprili, 2026

Bunge La 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha Pili, Tarehe 01 Aprili, 2026

NILITEGEMEA LEO KUWE NA DHARURA YA KUMJALI MWANANCHI WA TANZANIA UPANDAJI WA BEI ZA MAFUTA AU WABUNGE HAWANA TAARIFA
 
Nikiingia JF ndio napata taarifa kama hivi kuwa hiki ni kipindi cha Bunge kwa sababu sio faida ya hilo Bunge maana hawazungumzii vitu vya msingi..
 
Hatimae vichaa wanakutana kujadili mustakabathi waTz
 
Back
Top Bottom