Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
3,692
Reaction score
5,647
"IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION".
Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani, na ni wazi walipelekwa kulinda masirahi ya watu binafsi.
Wamesema jeshi lao limejaa rushwa, na kwamba waliahidiana hakuna kupeleka jeshi lao katika nchi yoyote ya Afrika kwenye vita.
Wengine wamehoji, ikiwa DRC ni mwanachama wa EAC, iweje South Afrika ichukue jukumu la kupeleka vijana wao kuuliwa, badhi ya nchi ziruhusiwe kupeleka wanajeshi, na nchi nyingine zikataliwe!
Wamesema South Afrika imedhalilika, imefedheheshwa na yaliyotokea. Nukuu: Sisi siyo wendawazimu: kitendo cha kupandisha bendela nyeupe, vitani ina maanisha umesalimu amri, haupigani tena, adui huchukua siraha na kuondoka nazo.
-Wanajeshi hao mliwapeleka bila vifaa, bila pesa, bila chochote.
Wabunge wa EFF, wamesema kwamba, madini wanayoyasimamia wanajeshi hao, ni mali ya Ramaphosa na familia yake na wazungu wengine.
viongozi hao walioitwa, wameombwa pia kutoa maelezo ya kwa nini wanalidhalau bunge na nchi kwa ujumla.
Wabunge wanasema, wameshikwa mateka, vifaa vyao sasa,ni mali ya M23.
-Tunatakiwa tuishukuru M23, kwa maji na chakula wanachopewa wanajeshi wetu (1:12:50), na kwa kutolipiza kisasi baada ya wanajeshi wetu kuuwa badhi ya wenzao(M23).
-Hatuko salama tena! Tumevuliwa nguo,



View: https://www.youtube.com/watch?v=JG0Q8SH0-6A
 
SA na wenzake wanafanya uhuni Congo na kuita kulinda amani acha wapambane na M23 wao si wahuni
 
Wale viropo ropo wanaopenda kudandia gari moshi kwa mbele huwezi kuwakuta hapa
 
Back
Top Bottom