Usimcheke mamba kabla hujavuka mto, punguzo la kodi ya mafuta halijawekwa wazi mpaka sasa wamekusudia tu. Ningelifurahia kama wangelitamka wazi kwa kiwango gani wamepunguza hiyo kodi hivyo mie sioni cha kushangilia hapo.safi sana naona vijana wengi tunafatilia bajeti
nimefurahi kupunguzwa kodi ya mafuta may be haliitakuwa safi. vilevile naona bodi ya mikopo imeongezewa fungu basi watuongezee kakiwango ka mikopo maana mh maisha yako juuu sana