Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna tabu babu!.....Elimu bure vipi?
Rekebisha kauli yako, kwa hiyo unamtukana hata mama yako? Au alifanya kosa kukuzaa!
kazi ipo. Hata kazi ya upinzani katika serikali hujui. Sehemu mojawapo ni kuikosoa na kuishauri serikali. Hata wanafunzi huotea maswali na hatimaye kusema walijua mtihani utakuwaje. Matatizo ya nchi hata mtoto mdogo anajua. Chadema inachofanya inatoa pointi kwa ccm. Hilo bado hawajashitukia. Ukitoa mbinu ya mchezo wako na adui yako akawai kuutumia nani atapoteza game.
<br />kazi ipo. Hata kazi ya upinzani katika serikali hujui. Sehemu mojawapo ni kuikosoa na kuishauri serikali. Hata wanafunzi huotea maswali na hatimaye kusema walijua mtihani utakuwaje. Matatizo ya nchi hata mtoto mdogo anajua. Chadema inachofanya inatoa pointi kwa ccm. Hilo bado hawajashitukia. Ukitoa mbinu ya mchezo wako na adui yako akawai kuutumia nani atapoteza game.
Nchi imefikia pabaya:-
JE MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YATAWEZEKANA KWA BAJETI HII TEGEMEZI????
- Bajeti nzima matumizi ni TRIONI 13,
- Mapato ya Ndani ni TRIONI 6,
- Matumizi ya Kawaida Serikali ni TRIONI 8,
- Matumizi ya Maendeleo ni TRIONI 4
<br />
<br />
Tatizo liko kwenye utekelezaji kaka,haijalishi wamecopy na kupaste kwa kiasi gani.issue ni je wata-implement hayo wanayoyasema? Je ni kwa kiasi gani matumizi ya kawaida yamepunguzwa kwendana na kauli ya Mh.Mkullo ya kupunguza posho na safari za nje na za ndani? Juzi tu wametoka kuambiwa kwamba watoke wasikae ofisini huko kutoka hakuongezi gharama kwa maana ya posho? Issue ni kutekelezeka kwa ahadi za wazee wa magamba!
Wana JF mnaofuatilia bunge sasa ivi mmemsikia waziri wa fedha anavosoma budget..? anasema serekali itapunguza safari za viongozi njee na ndani ya nchi, watapunguza msafara na msururu wa wapambe kwenye safari ambazo ni za lazima, watapunguza posho za viongozi zisizo lazima etc, sasa kwanini usikubali chadema ndio inaongoza nchi hii..? afadhali magamba mmekubali mapungufu yenu na kuchukua ushauri wa wataalam wa uchumi wa chadema
Hivi hizi bajeti kila mwaka zinazomwa lakini kweli tunafuatilia kama zimeweza kukamilisha hata yale matumizi yaliyowekwa?.. Mathlan bajeti ya mwaka jana imefanikiwa kwa kiasi gani maanake imekuwa hulka ya Mdanganyika kupitisha bajeti kila mwaka wakati vitu (matunda)havionekani..