Usimcheke mamba kabla hujavuka mto, punguzo la kodi ya mafuta halijawekwa wazi mpaka sasa wamekusudia tu. Ningelifurahia kama wangelitamka wazi kwa kiwango gani wamepunguza hiyo kodi hivyo mie sioni cha kushangilia hapo.safi sana naona vijana wengi tunafatilia bajeti
nimefurahi kupunguzwa kodi ya mafuta may be haliitakuwa safi. vilevile naona bodi ya mikopo imeongezewa fungu basi watuongezee kakiwango ka mikopo maana mh maisha yako juuu sana
Nchi imefikia pabaya:-
- Bajeti nzima matumizi ni TRIONI 13,
- Mapato ya Ndani ni TRIONI 6,
- Matumizi ya Kawaida Serikali ni TRIONI 8,
- Matumizi ya Maendeleo ni TRIONI 4
JE MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YATAWEZEKANA KWA BAJETI HII TEGEMEZI????
Mimi sijaona bajeti ya CDM,nimesikia outline tu......and from the look of things,it's a crappy ass budget,haiendani na ilani yao ya uchaguzi,
Haitoi elimu bure mpaka form 6.
Hawa majamaa wote ni wasanii tu,they don't get tha notion,so just stop praising'em they're all weird,hungry politicians.
Ume misspell
wana JF mnaionaje bajeti ya mwaka huu. maoni yenu yakoje maana naona kuna bia zimepanda, vinywaji baridi na mambo kaza wa kaza. vp inamsaidia raia wa kawaida maana naona kodi ya mafuta imepunguzwa na kilimo pembejeo nazo unafuu unaendelea, kuna mambo mengi ya kuangalia hapa kabla hujatoa maoni yako.
Hamna tabu babu!.....Elimu bure vipi?asante mwalimu..
Mh. Mbowe amesema bajeti imezingatia maoni yaliyotolewa kwenye kamati na mikutano ya cdm, anasema kwa kiasi kikubwa italeta unafuu wa maisha kwa wananchi.
Anasema wanasubiri bajeti za Wizara kuona mipango ya utekelezaji ikoje.
Mtaalamu hana mipaka!
This has been the case since the 2010 Elections,
1. New constitution
2. Chuo cha uongozi
3. Uhuru wa vyombo vya dola
4. Uhuru wa bunge na Mbunge
5. Spika wa bunge atoke chama kikuu cha upinzani
6. Tenda zote za ujenzi na ujenzi wenyewe ufanywe na wanajeshi na wafungwa kwa %90 na 10% ifanywe na wataalamu waliobobea kwenye kandarasi zote maana hawa jamaa wanalipwa vita hakuna hatimaye wanatupunguza kidogokidogo na mabomu yao.
7.
8.
9.
10.
maendeleo tanzania ni sawana hatua za mlezi moja mbele nne nyuma,pole tanzanianchi imefikia pabaya:-
- bajeti nzima matumizi ni trioni 13,
- mapato ya ndani ni trioni 6,
- matumizi ya kawaida serikali ni trioni 8,
- matumizi ya maendeleo ni trioni 4
je maisha bora kwa kila mtanzania yatawezekana kwa bajeti hii tegemezi????