there are systems coming to ensure that the money goes to the right channel...stay tuned!
You may wish to understand that sytems in themselves do not curb corruption. Do you want us to believe that currently there no systems? Should your allegations be true, then Tz is a jungle!! No No.there are systems coming to ensure that the money goes to the right channel...stay tuned!
Mfano ni relevant kabisa. Hauna tofauti na huo ulioutoa wewe. Nimezungumzia posho ya kila siku ya kuhudhuria semina, warsha, mikutano nk. Sijazungumzia gharama za kusafiri kikazi. Hata sheria yenyewe ya kodi inazungumzia actual expenses are allowable deductions lakini posho (merely posho) lazima ikatwe kodi.Mfano wako siyo relevant kwani gharama za kusafiri kikazi hazikatwi kodi. Chukua mfano mwingine mfano wa cash transport allowance kwa ajili ya kwenda kazini na kurudi nyumbani. Aliye serikalini hatakatwa kodi lakini yule wa sekta binafsi atailipia kodi ya mapato pamoja na NSSF. Ni ubaguzi wa hali ya juu kuliko hata ule wa South Africa miaka ile
Polisi na hasa trafiki i sababu ya umaskini wa watanzania.
Eshacky
Nini maana ya swali la longeza ina maana muuliza swali hajaridhika na majibu ya waziri anataka ufafanuzi na swali la nyongeza always linakuwa jipya
Kwani si waziri angejibu tuu kuwa mchakato unaendelea kushughulikia hilo kama walivyozoea badala ya kusema swali ni jipya
Ha ha ha! fananisha mimi kuhama CCM ni sawa na kuhama YAanga....haiji yani.
Mkulo ni Raia wa Malawi ndo maana hajaili kitu kwa Watanzania
Hee!..siyo mbongo?
Huu sasa ni uhuni,wanadisrespect mayanki wa kibongo wenye shule zao.
Wakubwa wanakubali kuwa gharama za maisha zimekuwa juu na hivyo wamebuni mbinu ya kupunguza makali hayo kwa wao wenyewe, kwa hiyo wategeuza malipo yao mengi yawe kwenye category ya posho na hiyo kukwepa makato. Wananchi watabaki kuwa 'cash cow'.
Yaani kama nawaona police wa salendar pale wanajificha kwenye miti wanasubiri upite na taa nyekundu wakurukie kati kati ya barabara....!!!
Umesahau TRA!?nina miaka 40 ccp watanikubali kweli?
maana nimejaribu kuufikiria ubunge nikaona ni maji marefu.
mwenye namba ya mwema anitumie sasa hivi nijaribu kete ya mwisho kwani umri ndio unaenda hivyo.
kazi tz zipo mbili tu ubunge na sasa trafic
Mkuu achana nae huyo hajitambui, hakuna mwenye akili timamu then aipende ccm inayotumiza kila ckuMkuu hata mimi nilikuwa mbishi kama wewe na mwenye mapenzi ya ccm kama wewe ila baada ya kujua mimi wala watoto wangu hawatafaidi matunda ya ccm bali ni machungu, chuki na dhihaka muda sio mrefu utakubali mkuu unless otherwise kama una interest Tehe tehe
Haha ukiangalia hizi picha na hiyo budget yao basi hutokubali kama unaakili timamu,hahahhaha,dah,yaani mtu una nyumba ya udogo kijijini,hakuna hata hospital huko wala ambulance ikisha bado unaweka picha ya kikwete,ccm oyeeeee hahahhahaWaziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo akinadi mkoba wa Bajeti
Bajeti ya Serikali 2011/2012 hii hapa
mpaka leo watu wanakunya kwenye
vichaka na ni 2011 bajeti munagawa nyinyi
na kuwawacha wanyonge wakiendeleya kutabika
serekali ya tanganyika huyu jamaa anahitaji
choo kama hichi wacheni kuiba pesa wapeni
wananchi na wao wawe na maisha mazuri
kama mulivyo nyinyi
watu wana picha zake badala ya faida yake
watu wana picha yake badala ya faida zake
watu kama sisi ndio wenye haki ya bajeti hiyo
iwafikiye watu kama hawa maana unaonyesha kuwa umefurahi
mpaka jino la mwisho maana ushajuwa chako ni ngapi ila
watu kama sisi hivi ndio viatu sasa na nyinyi habari hamuna
hili ndio daraja pesa zote munazo gawana ktk bajeti mumeshindwa
kuwajengeya madaraja ktk nchi
hichi ndio choo na bafu pia watu wanaoga humu humu bajeti
itafika lini kwa watu kama hawa nyinyi munaendeleya tu kugawana
wananchi pia wanataka kuwa na vyoo na bafu la kuogea kama haya
ambayo yamo ndani ya nyumba zenu mulizo jenga kwa jasho la
walipa kodi masikini
Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo akiwaonesha wapigapicha na waandishi wa habari mkoba uliona nyaraka za Bajeti ya Fedha ya Serikali kwa mwaka 2011/2012 baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo ikiwa ni muda mfupi kabla ya kuingia Bungeni kusoma Bajeti hiyo.
umesahau ulipokuja kutuomba kura ukasema
utatujengea na tutakuwa na maisha mazuri vipi
mbona unatukana na bajeti haitufiki au ndio umepata
kura na sisi ndio tumeruka patupu maana hii ni miaka
mitano ya mwisho na sisi bado tunaishi kwenye vibanda
ulivyokuja kutuomba kura mpaka leo bado tumo humu humu
mpaka tunakuomba na bado unawambiya nchi za ulaya
tunaishi maisha mazuri na unashaga kama hujuwi kama tunalal na njaa
usiwaonyeshe wapiga picha waonyeshe wananchi wa tanganyika
ndio wanao uhitaji sio wapiga picha
Mkoaba wa Bajeti ya Serikali 2011/2012.
tumechoka kunywa maji machafu bajeti naije huku mara hii
bajeti..? bajeti..? bajeti..?
ndio ukubwa huwo mwanangu sukuma sukuma bajeti
sisi haitufiki wanakula wenye kwa wanyewe tu sukuma sukuma
labda mwaka huu bajeti ikija na mimi sitouza tena machungwa
nita nunuwa nyumba na dala dala
nyinyi pigeni picha mimi nasubiri bajeti ili na mimi
nipate pesa za kununuwa nguwo sina kitu msela
hatuna hata gari ya kutu bebeya matofali tunayotaka kujenge nyumba
mustafa mkulo bajeti ilete huku tuchibiwe misingi ya
kupitiya maji machafu na mataka taka
Kodi hii inypendekezwa kusamehewa ni katika posho ambazo hulipwa kwa watumishi wa kadi za juu tu, hivyo mananchi wa kawaida hatanufaika na chochote. Ni heri wanekubali mapendekezo ya TUCTA kupunguza inacome tax ambayo inamgusu kail mtumishi.