Serikali imependekeza kupanua magereza na kununua mabomu ya machozi zaidi
Tafadhali tujuzeni yatakayokuwa yanajuishwa kwenye bajeti za africa mashariki leo.
Wale mlioko
TANZANIA,
KENYA,
UGANDA,
RWANDA,
BURUNDI.
Fuatilieni bajeti zinaposomwa ili mtujulishe live.
Asanteni wadau.
Aiseh we Acha tu!!Tumetajiwa Mlolongo wa kodi zinazotozwa kwenye mafuta kisha tukaambiwa kuna malengo yakupunguza nakuondoa kabisa baadhi ya kodi hizo kwahiyo tusubirie tar:22 ndo tutaambiwa...!Mie inanishangaza sana afu vitu vinasomwa theoretically in a ver complicated manner Mtu wa Ngw'angashimba kule aambulii kitu.