Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

Tafadhali tujuzeni yatakayokuwa yanajuishwa kwenye bajeti za africa mashariki leo.
Wale mlioko
TANZANIA,
KENYA,
UGANDA,
RWANDA,
BURUNDI.

Fuatilieni bajeti zinaposomwa ili mtujulishe live.
Asanteni wadau.

hawa jamaa wa cluds wana-stream live bajeti ya tanzania unaweza kusikiliza sasa hapa

Clouds FM

angalia juu kabisa kwenye banner, listen live
 
Aiseh we Acha tu!!Tumetajiwa Mlolongo wa kodi zinazotozwa kwenye mafuta kisha tukaambiwa kuna malengo yakupunguza nakuondoa kabisa baadhi ya kodi hizo kwahiyo tusubirie tar:22 ndo tutaambiwa...!Mie inanishangaza sana afu vitu vinasomwa theoretically in a ver complicated manner Mtu wa Ngw'angashimba kule aambulii kitu.

Kwanini asingesubiri mpaka hiyo tarehe 22 ndo atusomee kuliko kusoma vitu ambavyo sisi havituhusu akiacha mambo tunayoyasubiri kwa hamu.

Au ndo walikuwa wameamua kukauka mpaka Chadema walipotishia wameamua kureview?
 
Mapendekezo ya bajeti yanasomwa sahivi na TBC wanaonesha moja kwa moja!
Kiufupi bajeti ina ahadi nyingi zinazotia matumaini hasa katika kipindi hiki kigumu cha maisha.
Lakini sasa swali linabakia pale pale?
How strategic,effective and efficient will the implementation be afterwards?
Me and You we are yet to see the results!
 
Bajeti hii ya Mkulo bado naona kama nikitendawili!Tunatimiza miaka 50 ya uhuru nyumba ya mkuu wa wilaya fulani ndio imejengwa kwenye bajeti ya mwaka 2009 -2010 hii danganya toto! Serikali ya chama cha mapinduzi (CCM) katika bajeti zake zoote imejifunza zaidi kukopa kuliko kutumia vizuri haitaki kudhibiti wizi serikalini.
 
Hakuna jipa naskia kukopa , kufadhliwa kwa serikali matrilion kibao
 
Mchanganuo wa bajet hii trilion.3. Kwa miundombinu, maji. Bil.600, kilimo bil.900
 
Serikal kusitiisha manunuzi ya thaman, matumizi ya mafuta,kupunguza safar za nje na ndan ya nchi, uendeshaj wa semina na warsha,manunuz ya magar, gharama za maonyesho na sherehe mbalimbali. hapa pako poa naona wamepga mokof, ila mioyo yao inauma.
 
Wana JF mnaofuatilia bunge sasa ivi mmemsikia waziri wa fedha anavosoma budget..? anasema serekali itapunguza safari za viongozi njee na ndani ya nchi, watapunguza msafara na msururu wa wapambe kwenye safari ambazo ni za lazima, watapunguza posho za viongozi zisizo lazima etc, sasa kwanini usikubali chadema ndio inaongoza nchi hii..? afadhali magamba mmekubali mapungufu yenu na kuchukua ushauri wa wataalam wa uchumi wa chadema
 
I'm a Tanzanian though not 100% patriotic,i know that every single content of this budget and let me pin point the united republic of Tanzania budget,it will be full of abracadabra statements and barbaric promises,let us wait!
 
This has been the case since the 2010 Elections,
1. New constitution
2. ......
3. ......
4. ......
 
Hii ndiyo maana ya kuwepo vyama vya upinzani, yaani kuikosoa serikali ambayo pia
inapaswa kufuata ushauri na kuchukua mazuri yote ya vyama hivyo.
 
Back
Top Bottom