Taifa_Kwanza
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 443
- 87
Hata wakisema CCM hawawezi kutekeleza
nzito ndio atakayesoma bajeti ya kambi ya upinzani, I trust the contest is ok,
na sababu atasoma huyu geneus, i will be drinking my beer too sababu naamini
atafanya the best presentation, na wasiombe achukue political course katika
presentation yake He will blow them up
Hakuna jipa naskia kukopa , kufadhliwa kwa serikali matrilion kibao
Chadema ni kama mwanamke mjamzito akifanyiwa zuri kwake karaha akifanyiwa baya ndio tabu! Sasa mnataka Serikali ipuuze kila linalosemwa na Upinzani!
Chadema ni kama mwanamke mjamzito akifanyiwa zuri kwake karaha akifanyiwa baya ndio tabu! Sasa mnataka Serikali ipuuze kila linalosemwa na Upinzani!
Rekebisha kauli yako, kwa hiyo unamtukana hata mama yako? Au alifanya kosa kukuzaa!
Hahaha,
nimefurahi kweli kuhusu sigara,nasubiri na pombe sijui zimepanda
www.jamiiforums.com/business-and-ec...a-pombe-saivi-matumbo-joto-3.html#post2075708
Hahahaha na nyie magamba mko kama demu mwenye nyege zikimpanda anaparamia anayemuona, kwani nyie ccm hamkujua kuwa mnafuja hela kwa safari, wapambe, posho na ufisadi...? mmezoea ku copy na ku paste hamjui kutafuta njia mmbadala ya kumaliza tatizo bali kudandia tuu, itafikia siku chadema wakisema gamba kuu liende magogoni kwa bajaji au dala dala mtakubali tuu
Hivi kwa akili zenu mnashangilia? Hivi kataja viwango allowance hizo na idadi ya safari zitakazopungua? Kataja misafara ilikuwa na wapambe wangapi na sasa itakuwa na wangapi?
Nyie acheni bana usanii wa chama magamba mimi ndie naujua. Subirini muone! Nitawaletea facts za uongo wao hata kabla miezi minne haijaisha.