Bunge la bajeti 2024 limesusiwa na kudorora balaa!

labda hufahamu ama huna uelewa wa kutosha juu ya mambo yalivyo, na yanavyokwenda vyema humu nchini......

kwanza,
CCM ndio chama pekee chenye mvuto zaidi Tanzania, Africa Mashariki na Africa kwa ujumla. Hilo ni lazima ulijue vizuri upende usipende.

Jambo la pili,
CCM ndicho chama chenye hamasa zaidi na morake ya juu zaidi miongoni mwa wanacahama wake na wanatamani hata uchaguzi wa serikali ya mtaa ufanyike kesho. Wanahamu na ugwadu wa hali ya juu sana na ya kudhinda kwa kishindo viti vya mitaa na vujiji vyote nchi nzima. Hiyo ndio shabaha ya CCM uchaguzi huu wa serikali za mitaa na vijiji.....:NoGodNo:

Jambo la tatu,
Bunge halipo pale kwasababu ya kumuonyesha mvuto au kumvutia fulani, that is wrong perception gentleman....
Bunge lipo pale na linafanya kazi yake kwa weledi, usawa, haki na uwazi kwa mujibu wa kanuni, taratibu, sheria na katiba ya nchi na kwa maslahi mapana ya waTanzabia wote....:NoGodNo:

Jambo la nne,
kama chama chako hakiwezi kuitisha mkutano wa hadhara, CCM unafabya vizuri sana naeneo mbalimbali nchini kwa mafanikio makubwa sana. kama vyama vingine havifanyi mikutano ya hadhara hiyo ni juu yao, na ni shauri yao, ipo ichaguzi hapo mbele , hapana kusingizia umeibiwa kura wakati hata mikutano hufanyi,:NoGodNo:

Jambo la tano,
kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi yetu. Mshindi katika uchaguzi wowote ule, ni yule anaepata kura nyingi zaidi ya mgombea mwingine. So, ukizira, ukisusa au kugomea uchaguzi, still mshindi atapatikana tu, atakamata dola, ataunda serikali na kuongoza nchi bila mbambamba yoyote, upende usipende.....ni vizuri kuambiana ukweli :pedroP:

Jambo la mwisho,
ambalo ni la muhimu zaidi ni katiba mpya, ambayo kwa mujibu wa ratiba ya CCM nadhani linaweza kufanyiwa kazi baada ya uchaguzu mkuu ujao2025.

hayo mengine sijui ya Tume huru ya Uchaguz, wapiga kura wachache n.k, si muhimu sana, ni maoni na mtazamo wa kawaida tu, sina haja kuyaeleza sana.

i wanted to put those few issues clear ili twende sawa huko mbeleni....:BillyApprove:
Watu wanataka uchaguzi wa haki na huru isijirudie hali ya 2019/2020.Haya ndiyo matokeo yake ya kuua uwakilishi wa kweli
 
Karma inafanya Nazi hao wabunge empty sit - wengi wapo hospital I speak from incredible source hata juz I was been there Dodoma
 
Watu wanataka uchaguzi wa haki na huru isijrudie hali ys 2019/2020
hakuna kurudi nyuma hapa
, ni kusonga mbele tu kwa uchaguzi wa uhuru sana, uwazi sana na kwakweli wa haki zaidi. Asie amini hilo, asijekulaumu baadae baada ya uchaguzi ukiwa umekwisha :pedroP:
 
Ni upumbavu mwingine kupoteza muda na kitu kisichokuwa na impact yeyote kwenye maisha ya watu.

Mwananchi huku analalamika, halafu Mbunge naye akiwa bungeni analalamika tena huku akilipwa posho za mamilioni ya hela.
 
Sijui kama Watanzania wengi wanajua kuwepo kwa vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea Dodoma. Yaani kuanzia mitaani, mitandaoni, redioni, Kwenye Luninga na magazeti hakuna habari wala mijadala mizito inayoibuliwa kutokea bungeni, yaani kumepoa balaa.

Mahudhurio ya wabunge ni hafifu mno, michango ya wabunge ni duni mnoo, hotuba za bajeti zimepwaya kupitiliza, ni mwendo wa kucopy, kuCut na kuPaste bajeti zilizopita huku wakibadilisha tarakimu za pesa ya bajeti na kujazia blah blah fulani za kindezi, hakuna kipya au cha maana.

Na kuna taarifa nimesikia kuwa kuna wabunge kadhaa hawajui hata kama vikao vya bunge la bajeti vinaendelea Dodoma (japokuwa posho zote za vikao wanalipwa), na wabunge wengine wako Dodoma kupiga gambe na kuzagamuana tu mitaani, bungeni hawaingia ng'o
Ni vizuri kuwa pamoja na kwamba limesusiwa wewe upo pamoja nalo na tunakushukuru kwa kulifuatilia na kutuletea updates!🙏🙏🙏🙏
 
Dhalimu Magufuli alipopora uchaguzi na kufanya chama chake kitangazwe washindi kwa 95% alidhani atafanya chama chake kipate mvuto, kumbe ndio alikuwa anashusha moral ya ushindani wa kisiasa hapa nchini. Nadhani yeye na chama chake hawakuwa wamesoma alama za nyakati kuwa kizazi hiki sio Cha ccm, na ili kuwe na hamasa ya siasa ni lazima upinzani uwepo. Matokeo yake ndio haya ya bunge kukosa mvuto, na viongozi waliopatikana bila ridhaa ya wananchi, hawana hata uwezo wa kuitisha mikutano ya hadhara na wananchi wakahudhuria wengi kwa ridhaa Yao.

Na hii ni Bado, na vile ccm wanagomea tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, chaguzi zetu zitakuwa na wapiga kura wachache sana, na viongozi watakaopatikana na chaguzi hizo, watapuuzwa vibaya maana wananchi wengi watakuwa hawana habari nao. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya kisiasa hapa nchini.

Tlaatlaah Lucas Mwashambwa MamaSamia2025 jingalao Gift mzalendo
Ndugu Tindo inaonekana unawashwa washwa sana ndo maana unatag watu kwenye comment zako za kipuuzi. USIRUDIE TENA KUNITAJA KWENYE UPUUZI WAKO.
 
Sijui kama Watanzania wengi wanajua kuwepo kwa vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea Dodoma. Yaani kuanzia mitaani, mitandaoni, redioni, Kwenye Luninga na magazeti hakuna habari wala mijadala mizito inayoibuliwa kutokea bungeni, yaani kumepoa balaa.

Mahudhurio ya wabunge ni hafifu mno, michango ya wabunge ni duni mnoo, hotuba za bajeti zimepwaya kupitiliza, ni mwendo wa kucopy, kuCut na kuPaste bajeti zilizopita huku wakibadilisha tarakimu za pesa ya bajeti na kujazia blah blah fulani za kindezi, hakuna kipya au cha maana.

Na kuna taarifa nimesikia kuwa kuna wabunge kadhaa hawajui hata kama vikao vya bunge la bajeti vinaendelea Dodoma (japokuwa posho zote za vikao wanalipwa), na wabunge wengine wako Dodoma kupiga gambe na kuzagamuana tu mitaani, bungeni hawaingia ng'o
Aibu sana
 
Wengi tumeikatia tamaa nchi yetu,ila najua kinakuja kizazi kitakacholipa kisasi kwa hawa watu.
Iwapo mikopo ni mikubwa sana ya nchi,na wanaokopa hawagusiki,hawawajibiki wala kuwawajibisha wezi wa mali za watanzania,iko siku kizazi cha Mungu,kizazi kisichozuilika,kitainuka na watalipa kwa yote,nakiona na wala hakipo mbali.
 
Ingewezekana na bunge tungebinafsha tu, au tukodishe kama bandari, mule yanatendeka majambo ya hovyo tu, utafikiri hakuna watu mule
 
Dhalimu Magufuli alipopora uchaguzi na kufanya chama chake kitangazwe washindi kwa 95% alidhani atafanya chama chake kipate mvuto, kumbe ndio alikuwa anashusha moral ya ushindani wa kisiasa hapa nchini. Nadhani yeye na chama chake hawakuwa wamesoma alama za nyakati kuwa kizazi hiki sio Cha ccm, na ili kuwe na hamasa ya siasa ni lazima upinzani uwepo. Matokeo yake ndio haya ya bunge kukosa mvuto, na viongozi waliopatikana bila ridhaa ya wananchi, hawana hata uwezo wa kuitisha mikutano ya hadhara na wananchi wakahudhuria wengi kwa ridhaa Yao.

Na hii ni Bado, na vile ccm wanagomea tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, chaguzi zetu zitakuwa na wapiga kura wachache sana, na viongozi watakaopatikana na chaguzi hizo, watapuuzwa vibaya maana wananchi wengi watakuwa hawana habari nao. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya kisiasa hapa nchini.

Tlaatlaah Lucas Mwashambwa MamaSamia2025 jingalao Gift mzalendo
Chadema ndio imesuswa
 
😂 hivi ule utapeli wenu wa Tanzania ya viwanda uliishia wapi?
Huoni hata aibu....juzi tu Mhe. Rais amezindua kiwanda cha kuunda malori...you should be ashamed!!
CCM imewamalizia hoja mmeanza sarakasi za Muungano.

Kazi inaendelea wewe
 
Sijui kama Watanzania wengi wanajua kuwepo kwa vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea Dodoma. Yaani kuanzia mitaani, mitandaoni, redioni, Kwenye Luninga na magazeti hakuna habari wala mijadala mizito inayoibuliwa kutokea bungeni, yaani kumepoa balaa.

Mahudhurio ya wabunge ni hafifu mno, michango ya wabunge ni duni mnoo, hotuba za bajeti zimepwaya kupitiliza, ni mwendo wa kucopy, kuCut na kuPaste bajeti zilizopita huku wakibadilisha tarakimu za pesa ya bajeti na kujazia blah blah fulani za kindezi, hakuna kipya au cha maana.

Na kuna taarifa nimesikia kuwa kuna wabunge kadhaa hawajui hata kama vikao vya bunge la bajeti vinaendelea Dodoma (japokuwa posho zote za vikao wanalipwa), na wabunge wengine wako Dodoma kupiga gambe na kuzagamuana tu mitaani, bungeni hawaingia ng'o
Ndio kipimo cha kukataliwa CCM hicho.
 
Bunge la wapi tena?. Si tulikubaliana kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake
 
Huoni hata aibu....juzi tu Mhe. Rais amezindua kiwanda cha kuunda malori...you should be ashamed!!
CCM imewamalizia hoja mmeanza sarakasi za Muungano.

Kazi inaendelea wewe
Nimecheka kwa nguvu vibaya, kwahiyi sasa hii ni Tanzania ya viwanda?!
 
Kumbe kunabunge linaendelea?tatizo ukibogoyo wa bunge ndiyo maana watu hawana nmuda wa kufatilia bunge
 
Sijui kama Watanzania wengi wanajua kuwepo kwa vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea Dodoma. Yaani kuanzia mitaani, mitandaoni, redioni, Kwenye Luninga na magazeti hakuna habari wala mijadala mizito inayoibuliwa kutokea bungeni, yaani kumepoa balaa.

Mahudhurio ya wabunge ni hafifu mno, michango ya wabunge ni duni mnoo, hotuba za bajeti zimepwaya kupitiliza, ni mwendo wa kucopy, kuCut na kuPaste bajeti zilizopita huku wakibadilisha tarakimu za pesa ya bajeti na kujazia blah blah fulani za kindezi, hakuna kipya au cha maana.

Na kuna taarifa nimesikia kuwa kuna wabunge kadhaa hawajui hata kama vikao vya bunge la bajeti vinaendelea Dodoma (japokuwa posho zote za vikao wanalipwa), na wabunge wengine wako Dodoma kupiga gambe na kuzagamuana tu mitaani, bungeni hawaingia ng'o
Kama Aweso bajeti nzima anamsifia Samia!🤣🤣
 
Mleta mada shikamoo. Its 100% true . Mi nikiwaona nahsi kichefuchefu najaribu kulinganisha na zamani nimelichukia kutoka rohoni.limebaki na kina mwashambya
Spika wa Bunge ni chawa wa Samia!🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom