Bunge la bajeti 2024 limesusiwa na kudorora balaa!

Watu wanataka uchaguzi wa haki na huru isijirudie hali ya 2019/2020.Haya ndiyo matokeo yake ya kuua uwakilishi wa kweli
 
Karma inafanya Nazi hao wabunge empty sit - wengi wapo hospital I speak from incredible source hata juz I was been there Dodoma
 
Watu wanataka uchaguzi wa haki na huru isijrudie hali ys 2019/2020
hakuna kurudi nyuma hapa
, ni kusonga mbele tu kwa uchaguzi wa uhuru sana, uwazi sana na kwakweli wa haki zaidi. Asie amini hilo, asijekulaumu baadae baada ya uchaguzi ukiwa umekwisha
 
Ni upumbavu mwingine kupoteza muda na kitu kisichokuwa na impact yeyote kwenye maisha ya watu.

Mwananchi huku analalamika, halafu Mbunge naye akiwa bungeni analalamika tena huku akilipwa posho za mamilioni ya hela.
 
Ni vizuri kuwa pamoja na kwamba limesusiwa wewe upo pamoja nalo na tunakushukuru kwa kulifuatilia na kutuletea updates!🙏🙏🙏🙏
 
Ndugu Tindo inaonekana unawashwa washwa sana ndo maana unatag watu kwenye comment zako za kipuuzi. USIRUDIE TENA KUNITAJA KWENYE UPUUZI WAKO.
 
Aibu sana
 
Wengi tumeikatia tamaa nchi yetu,ila najua kinakuja kizazi kitakacholipa kisasi kwa hawa watu.
Iwapo mikopo ni mikubwa sana ya nchi,na wanaokopa hawagusiki,hawawajibiki wala kuwawajibisha wezi wa mali za watanzania,iko siku kizazi cha Mungu,kizazi kisichozuilika,kitainuka na watalipa kwa yote,nakiona na wala hakipo mbali.
 
Ingewezekana na bunge tungebinafsha tu, au tukodishe kama bandari, mule yanatendeka majambo ya hovyo tu, utafikiri hakuna watu mule
 
Chadema ndio imesuswa
 
😂 hivi ule utapeli wenu wa Tanzania ya viwanda uliishia wapi?
Huoni hata aibu....juzi tu Mhe. Rais amezindua kiwanda cha kuunda malori...you should be ashamed!!
CCM imewamalizia hoja mmeanza sarakasi za Muungano.


Kazi inaendelea wewe
 
Ndio kipimo cha kukataliwa CCM hicho.
 
Bunge la wapi tena?. Si tulikubaliana kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake
 
Nimecheka kwa nguvu vibaya, kwahiyi sasa hii ni Tanzania ya viwanda?!
 
Kumbe kunabunge linaendelea?tatizo ukibogoyo wa bunge ndiyo maana watu hawana nmuda wa kufatilia bunge
 
Kama Aweso bajeti nzima anamsifia Samia!🤣🤣
 
Mleta mada shikamoo. Its 100% true . Mi nikiwaona nahsi kichefuchefu najaribu kulinganisha na zamani nimelichukia kutoka rohoni.limebaki na kina mwashambya
Spika wa Bunge ni chawa wa Samia!🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…