Hakuna kitu kama hicho kwa sababu kuu moja tu kwamba wale G55 waliingia bungeni kihalali kwa zaidi ya 90% ila hawa waliomo sasa wengi wao ni wezi wa kura ama wamesaidiwa kupitishwa ndani ya chama kwanza na pili kwenye uchaguzi mkuu kupitia Tume ya uchaguzi, Bunge hili lina uhalali kwa 30% tu.