Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

 
Na waliofunga kwa kujificha wanahimizwa wajitokeze PAPA ameshaagiza ndoa hizo zibarikiwe na kanisa.. Nani kama PAPA muakilishi wa YESU hapa duniani?
 
Hivi wenzetu hawataki mabinti zetu wasome hadi kuwaoza katika umri huo wa miaka 9??

Hawataki wapatikane akina Mama Samia na Dr Tulia Acksoni wao hapo baadaye?? Ama Mama Kijo Bisimba wao

Na hao Wanaume wenzetu wanaooa vibinti vya miaka 9 ama 15 wanakuwa na Maumbile kama haya yetu ama wao Wana Maumbile yao special, maana si itakuwa Kila Siku mtoto wa watu analia Kwa maumivu mkiwa mnafurahia usiku wa Ndoa yenu??

Kweli kuishi kwingi kuona mengi 🙌
 
Kwani ukiolewa huwezi kuendelea na masomo? . Tusiwe watumwa wa Sheria zinazotungwa na binaadamu.
 
Kwani ukiolewa huwezi kuendelea na masomo? . Tusiwe watumwa wa Sheria zinazotungwa na binaadamu.
Hivi unajua ukishaoa inabidi Binti aje aitumikie Ndoa yake??

Yaani nione halafu niishie kupiga punyeto as if Sina Mke?? Kulikuwa na haja gani ya Kuoa sasa
 
Hivi unajua ukishaoa inabidi Binti aje aitumikie Ndoa yake??

Yaani nione halafu niishie kupiga punyeto as if Sina Mke?? Kulikuwa na haja gani ya Kuoa sasa
Mimi sijajua ndoa inazuia vipi mwanandoa kuendelea na masomo yake. Nakumbuka miaka ya 1970's na mpaka katikati ya 80's upande mmoja wa Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA walikua wanaruhusu wanafunzi wa Primary na Secondary kua kwenye ndoa na kuendelea na masomo na hakukua na maajabu yoyote, walikuja kusitisha 1984 na kuwadhulumu haki Yao ya masomo ambayo wakati wanaingia kwenye ndoa ruhusa ilikuwepo.
SWALA ndoa kwa mwanafunzi linaonekana kama ni kitu cha ajabu kamavile kitu cha ajabu mwanafunzi wa Primary na Sekondari kuvaa nguo za nyumbani badala ya uniform.
 
Je uislamu unaruhusu mtoto wa kike wa miaka 9 kuolewa?
Kwanini hamkumuliza Mungu wenu Yesu kama mnavyo dai hilo swali, vipi mama yake bikira Maria alizao bado bikra? Na alikuwa ana miaka 9 tu.

Na kwanini msiulize bibilia zenu wakati Joseph ana miaka karibu 72 kamposa Maryam ana umri hata miaka 5 hajafika.

Mkisha pata jibu, mtapata na jibu je inafaa bint wa miaka 9 kuolewa.
 
Tunaongelea hao watoto wa kike wa miaka 9 kwanza wanakua hata hawajabalehe via vyao vya uzazi ndiokwanzaaaaaa bado viteke watawaharibu tu

Cc Smart911
Kwani muoaji lazima awe na mke mmoja kwamba hataweza kuzuia matamanio yake au umeambiwa hiyo Sheria ikipita basi lazima Binti akifikisha miaka 9 tu hapo hapo anaozeshwa kwa nguvu.
 
Vyovyote vile utajua mwenyewe!
Point Yangu ipo katika umri mdogo kuwa hawajakomaa via vya uzazi pia are not matured enough to handle marriage issues!
Ni hatari na si salama kwao

Cc Smart911
 
Vyovyote vile utajua mwenyewe!
Point Yangu ipo katika umri mdogo kuwa hawajakomaa via vya uzazi pia are not matured enough to handle marriage issues!
Ni hatari na si salama kwao

Cc Smart911
Hebu nionyesheni nani Iraq kaolewa ana umri wa miaka 9? Mbona mnazunguka sana. Pia nimewauliza serekali ya Iraq wote ni waislam? Nimewauliza pia Iraq hakuna wabunge wakristo? Au Iraq wote ni waislam mbona hamjibu.

Pia nimewauliza kuongelea sio ndio kimekubalika, lakini huwa mkisikia nchi za kiarabu mnakuwa kama Paulo kutafuta uwongo 😄

Nilisha wajibu hata serekali ikileta sheria hailazimishi mtu kuozesha binti wake, mnaleta maneno mengi hasa nyie watu wa kanisani .
 
Sheria kandamiza sana hiyo .. Lakini ukirudi hapa kwetu unakuta muuza barafu mwenye miaka 30 anatembea na mtoto wa miaka 12🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…