Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Sijui unequote kitabu Gani huo uongoKwanini hamkumuliza Mungu wenu Yesu kama mnavyo dai hilo swali, vipi mama yake bikira Maria alizao bado bikra? Na alikuwa ana miaka 9 tu.
Na kwanini msiulize bibilia zenu wakati Joseph ana miaka karibu 72 kamposa Maryam ana umri hata miaka 5 hajafika.
Mkisha pata jibu, mtapata na jibu je inafaa bint wa miaka 9 kuolewa.