Chain gani hiyo unaongelea wakati huo ndio ukweli wewe tupe ushahidi tofauti na huo.
Acha uongo wewe, hakuna aliyeweka chupi begani, alitoroka akaacha shuka.
You're quoting a bible verse that is completely irrelevant to the subject in discussion something that shows that your thinking capacity is very low.
Hapa nilpo Sheria za nchi haziruhusu. Lakini kama zingekua zinaruhusu na binti ameshavunja ungo na vigezo na masharti yatakua yametimizwa, why not?Wewe unaweza kuruhusu Binti yako wa Umri huo akaolewa??
Ndoa zenyewe hizi ambazo Mume anaweza kumtaliki Mkewe hata baada ya kumharibia maisha yake
Kwahiyo unataka kuniambia muda wote walikuja kwenye love story tu?Kwan alioa 9yrs? Ya sasa hivi. Maana ulivyo bumunda utasema alikua 9yrs na though hakumla ilingia kwa uweza wa Mungu baba
Kipimo Cha miaka ni miaka tu kama ilivyo kilo hakuna kilo ya saruji ikawa na uzito mkubwa kuliko ya Sufi.9yrs ya kabla ya kristo unaijua urefu wake kwa sasa ni miaka mingapi ..? πππ
Hongera MkuuHapa nilpo Sheria za nchi haziruhusu. Lakini kama zingekua zinaruhusu na binti ameshavunja ungo na vigezo na masharti yatakua yametimizwa, why not?
Una ushahidi gani kama hao ni Wakristo ?Si ndio mkawa mnaowana wanaume kwa wanaume na kuolewa na farasi kumbe Yesu kaondowa sheria ? Kumbe kuzitimiza sheria ni kuziondowa? Paulo kawaroga ? Mbingu kumbe zimeshatoweka
Sio kweli unajua ulipoyatoa.Ulitaka nikuwekee biblia yako ya Queen james version ?? si ndio nimekuwekea hapo , kelele za nini ??
Hakuna unachofahamu.Itakuwa huelewi kwani unapokea kama unavyopokea maneno ya watu wa mitaani wa Marko , Yohana , Mathayo, na luka wa mchongo
Hakuna unachofahamu.
Una ushahidi gani kama hao ni Wakristo ?
We jitahidi umnusuru Allah ili na yeye akunusu.
Ili wote muepuke moto wa Jehanam.
Usipo mnusuru Allah atakuja akulaumu siku ya kiyama.
ΩΩΨ§ Ψ£ΩΩΩΩΩΩΨ§ Ψ§ΩΩΩΨ°ΩΩΩΩ Ψ’Ω ΩΩΩΩΨ§ Ψ₯ΩΩ ΨͺΩΩΨ΅ΩΨ±ΩΩΨ§ Ψ§ΩΩΩΩΩΩ ΩΩΩΨ΅ΩΨ±ΩΩΩΩ Ω ΩΩΩΩΨ«ΩΨ¨ΩΩΨͺΩ Ψ£ΩΩΩΨ―ΩΨ§Ω ΩΩΩΩ Ω
(MUH'AMMAD - 7)
Enyi mlio amini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Nenda tena ukasomeKipimo Cha miaka ni miaka tu kama ilivyo kilo hakuna kilo ya saruji ikawa na uzito mkubwa kuliko ya Sufi.
Au walikua wanaishi Jupiter? kama ni same planet na kipimo ni jua/mwezi basi hakuna tofauti.
Ndio nani hao..π²π²π²Sawa , wewe jirani yako ni marko na mjomba wako ni Yohana ??
Hao unaosema walikuandikia habari za yule aliyeshikwa na kijana aliyeweka chupi begani akakimbia akiwa uchi huku chupi akiitupaNdio nani hao..π²π²π²
Siijui hiyo umeitoa wapi labda kwenye Quran.Hao unaosema walikuandikia habari za yule aliyeshikwa na kijana aliyeweka chupi begani akakimbia akiwa uchi huku chupi akiitupa
Child abuse, imekaa kuibakaji oa tukupe miaka 30 jelaDini inasema mtoto wa kike akisha baleghe anafaa kuolewa wako wana baleghe miaka 9 wengine 13 wengine 18 kwa hio umri hauhusiku na kuolewa kinacho husika ni binti kuwa baleghe
Kuna lingine.
Oops hivi mama yake Yesu unajua aliposwa ana umri gani? Na alizaa ana umri gani najua wazi utaingia mtini π
Kaka nina jirani swala tano lakini mganga wa kienyejiUzinifu ni tabia ya mtu haihusiani na marafiki wala mitaa unayo tokea. Mimi namini wazi ukisali salaa 5 nyuma ya Imam mda wa mwezi tu, bila kumiss salaa moja basi shetani anakukimbia, na uzinifu au fitna zozote za shetani zinakukimbia.
Sio uwende kusali kwa kushow off.
Siijui hiyo umeitoa wapi labda kwenye Quran.
Mdogo wangu sio kila anaye swali ana salii πKaka nina jirani swala tano lakini mganga wa kienyeji