Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

Mnajifanya hamnywi pombe wakati mmeahidiwa bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe
 
Sheria hiyo ikipita, baada ya muda mchache watapendekeza tena miaka ishushwe Hadi miaka 6.

Hii ndio miaka sahihi kutokana na dini yao na ilishapendekezwa na kufuata na mtume wao.
Na Afghanistan vitoto vya umri huo na chini yake vinaolewa tu na vibabu vikongwe.
Mtawatambua kwa matunda yao.
Religion of Pieces.
 
Kwa hio Qur'an ndio ilisema Mtume Muhammad alimuoa Aisha ana umri wa miaka 9, mnaona vipi mnakwepa ya kwenu πŸ˜„
 
Miaka tisa?? Kweli??? Sa huo umri hicho kimke kinakufanyia nini masikini hata kupika chai tu kinaweza kweli....
 
Sasa mtoto wa miaka 9 tayari amevunja ungo?!
Wewe hivi unadhani binadamu wote wako sawa? Wako wengine wana umri wa miaka 9 itasema ana miaka 20 na kubaleghe pia vile vile. Hebu rudi shule ukasome wacha uvivu wakukimbia shule. Unaweza kuogota vitu vya mana.

If a girl starts menstruation at a young age, it's usually because the hormones in her body responsible for puberty are being produced earlier.

Wewe umeiona pia mili ya wa Iraq, utawafananisha na wagoni kama wewe.
 
Wameamua kulipiza kisasi cha kuuawa kwa Heniye kwa style hiyo?. Ama kweli safari hii Israel watanyooka kudadeki.
Wakitaka Iraq asitishe hiyo sheria basi Israel iondoke Gaza
 
Ndugu zangu ktk Imani hichi ndio kitu tumejaaliwa na kufanikiwa kukifanya kwa usahihi 100%

Hakika I'm the proud to be the.....
 
Huyu mwarabu alileta Mila za hovyo sana afrika. Kana mamtu ya nayopatikana pembezoni mwa bahati ya Hindi ndio walipokea Mila hizo na wao kwa Sasa wanafikiri ni utamadini wao. Huo ni ubakaji maana lengi lao eti wake mabikira maana wanaona hata hao wa 15 tayari Sasa wamekuja kwa hivi vitoto kabisa. Hivi waamini wa Mila hizi wanaamini kabisa kuwa njia hiyo itawapeleka kwa Mungu wa kweli? Au ni Mungu wa mchongo?
 
Udenda unakutoka kabisa kuona mtoto wa 9 years? Wa miaka 18 tu wengine hatumtaki sababu bado ni mdogo kimwili na kiakili. Badilikeni ndugu.
Mimi na mke wangu sihitaji binti wa mtu huyu mke wangu nilipo muoa alikuwa na umri wa miaka 20 na mpaa tunazeka tuko pamoja labda mmoja afe ndio atabaki peke yake.

Afu mtu kutoa ushauri na kukubaliana na sheria si kwamba na yeye atafanya vile. Tatizo lenu waimba kwaya mnadhani kila kitu ni sex tu.

Nyie ndio wazinifu wakubwa afu mnajidai eti ndoa za kikristo hazivunjiki πŸ˜„ Kwa uwongo hamuwezekani nyie.

Bora Sisi waislam hatuzini nje ya ndoa sio nyie bar zote wazinifu ni wanaume wanao julikana ni wakristo na wake zao huko wanagawa kama peremende za baniani.
 

Umetoa povu jingi ila hakuna point hata moja. Swali kuu hapa ni je wewe unakubaliana na mtoto wa miaka 9 aliyebalehe kuolewa? Wewe mwanao wa miaka 9 aliyepevuka utamuoza akija mchumba?
 
Bora Sisi waislam hatuzini nje ya ndoa sio nyie bar zote wazinifu ni wanaume wanao julikana ni wakristo na wake zao huko wanagawa kama peremende za baniani.

Halafu hapa jipige kifuani jiite mjinga mara tano
 
Wameona bikira hawapati Tena na Ili wazipate hakuna namna nni kupeleka muswaada wa Sheria bungeni.

Hadi unafika 2040 watabadirisha Tena na kuoa vichanga wa umri wa miaka4-5 hivi.naheshimu Imani za watu na comment yangu no kuguswalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…