Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Mimi mjinga sawa
Ila nikupe mfano mwepesi
Kenya mirungi ni halali ila
Tanzania ni halamu
Ila Tanzania nayo ikibadili sheria na kusema mirungi ni halali
Haita maanisha kuwa wa Tanzania tunatakiwa tele mirungi
Wewe ujue mjinga etiii..!!!
Mirungi unafananisha na utu wa binadamu kweli??!!

Km una akili mbovu km hizi watoto wako wana baba wa hovyo..!! Nawaonea huruma wewe unaweza ukachukua mahari ukampa mtu binti yako wa miaka 9 😡
 
Huu uzi umewa expose ma pedophile ya humu kuna wengine wanavokuwa wanachangia mada ndo unajua ni wa hovyo kiasi gani.
 
Wewe ujue mjinga etiii..!!!
Mirungi unafananisha na utu wa binadamu kweli??!!

Km una akili mbovu km hizi watoto wako wana baba wa hovyo..!! Nawaonea huruma wewe unaweza ukachukua mahari ukampa mtu binti yako wa miaka 9 😡
Saudia na Indonesia hio sheria ipo na watoto wa miaka 9 hawaolew mbona
Ila ninacho kwamba ni kuwa sheria haija sema kuwa mtoto wa miaka 9 ni lazima aolewe

Kwa kuwa wewe ni mkristo umeshikilia Apo kuchafua waislam
Naishia apo
 

Na kuna wanaume bila aibu wanaenda kuoa hivyo vitoto.

Na bila aibu kuna wajinga wanasema wanatekeleza matakwa ya dini.

Huo ni ubakaji. When I look at my 9 years daughter and see this shit, nawadharau sana waarabu
 
Under the new law, which was agreed yesterday, religious authorities have been given the power to decide on family affairs, including marriage, divorce and the care of children. It abolishes a previous ban on the marriage of children under the age of 18 in place since the 1950s.

Sikia, The issue of girls as young as nine being married is a real and documented problem, both historically and in modern times. This practice goes against decency and must be addressed to protect the innocence of young girls.
 
Kwanini mpoteze muda wote huo,kwanini asiachwe akae na wazazi wake mpaka atakapotimia kuweza kuolewa na kushika majukumu kama mke.

Nacho kiona hapa ni nothing but upedophile washenzi wakubwa ninyi..zaa binti yako halafu umafanyie huo upuuzi. Shenzi kabisa a lidini leni ya kishentani.
 

Hapo Ameolewa kwa kuridhika au ndo anakuwa kalazimishwa(katika kipindi hajitambui kabisa)

Miaka tisa kwa Tanzania ni mtoto yuko darasa la 4 kama alianza la darasa la kwanza kwa miaka 6. Ila kama alianza kwa miaka 7 basi atakuwa yuko la darasa la tatu.
Sasa leo pita shule ya msingi omba kuwatizama hao watoto wa darasa la tatu au la nne ki maumbo tuu na akili zao alafu tizaman ni halali huyo mtoto kutolewa mahari au laa.

Hata kama sisi tulifanya huo ujinga zamani ila ndo tumestarabika sio mambo yakufanya tena.

Hata kama umfuasi wa dini Hii elewa sio kila kitu utakichukua. Vingine lazima ukubali hapa Dini au wahusika wa dini wamekosea.

Ndo maana napinga haya mambo ya dini sana. Waislam Mnajitahidi sana kwenye ubinadam(kusaidia wagonjwa, maskini)Ila hili LINA MAKOSA MAKUBWA SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…