Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Huu ni ukatili na upuuzi usitetewe huyo ni mtoto Hana uwezo wa kuamua hatma ya maisha yake ubongo bado haujakomaa

Bado anahitaji upendo WA baba na mama,Muhambadi alianza kumuingilia Aisha akiwa na Miata Tisa Wala usidanganye watu hata waumini pia wanaiga hilo
 
Huu ni ukatili kuliko hata ushoga,hili jambo hata mashoga wanaweza kupinga
 
Hapo lililoamua ni bunge au ni uislam..unasoma habari lkn kuielewa pia unashndwa?
 
Watakemea nini wkt waliopitisha ni bunge?..hebu soma vzr hiyo habari uislam sio dini ya matamko kila kukicha
 
Alibaka mtoto wa miaka 6 mara miaka 8 kwhy kipindi hicho walimuacha kwa kuwa alikua na nguvu sana au nini?
Soma hiyo habari vzr bunge wamepitisha sasa hapo uislam umeingiliana vipi?
 
Wagalatia ndo na biblia mnavyosoma kama vichwa vya panzi...
Bunge limepitisha ndoa ya miaka 8 au uislam umepitisha?..mbn Wagalatia mnakua wapuuzi sanaa?
 
Hebu jaribu weeh sahv kama zamani iliwezekana kwa nini sahv ishindikane?..tokea mtume afanye ivo ina maana hakutokea mwngn si ndio?..alifanya ivo pekee yake au sio?
 
Mgalatia hebu punguza jazba hapo hiyo sheria imepitishwa na bunge au na uislam?
Hebu soma vzr hiyo habari usiwe unasoma kama Agrey?
 
Kuna muda nakubali Dunia kutawaliwa na mzungu laiti ingetawaliwa na mwarabu mambo yangekuwa haya hapa.

Mataifa mengi ya kiislam yanamkandamiza to sana mtoto wa kike
Wameamua wenyewe tena bungeni kwao wala hujaletewa Africa lkn unaumia?
Kumbuka sheria ya ushoga ilianza kupitishwa na wazungu bungeni ukaletewa Africa tena ukaambiwa na ukikataa utanyimwa misaada mkapiga kelele sasa hapo kipi bora kwako na mpk sahv shinikizo lipo ukubali hapo ndo wazungu wanakupenda mwafrika acha ujinga wako weeh mgalatia
 
Mbona umekuwa mkali sana,we mwarabu nini mkuu,🤣

Afrika ipo controlled na mataifa yenye nguvu,lakini hakuna maana kwamba tutaiga kila wanachofanya
 
Weeh mgalatia jaribu kupembua jambo wanaume wa kenya wambake mtazania utafurahi sio?
Hayo ni mataifa matatu tofauti na hebu soma hiyo habari sheria imepitishwa na bunge au na uislam?
 
Kipi mwafrika utaacha kuiga na kufuata na upo controlled?..project ya Papa Francis ipo pale pale keshasema Africa mtaelewa tuu kidogo kidogo mana'ke hapo kama sio wewe kufilana basi uzao wako lkn mkae kanisani na mashoga pamoja na mabasha
 
Kwa nini usisubirie project ya Papa Francis ikufikie?..ingekufaa zaidi mana'ke ipo rasmi imepitishwa kulikoni hii ya wa Iraq waliojipitishia wenyewe
 
Ndugu yangu wala usiwe mpofu hiyo sheria imepitishwa na bunge...nchi kama Iraq au Iran haziongozwi na viongozi wa dini vitu 2 tofauti kabisaa na miaka ya hivi karibuni Mashia ndo wameshika hatamu katika serikali mbili zote...
Tuje kwny misingi ya habari anaisoma halafu anachanganya na uislam mara sijui mtume alibaka kivipi..yanii na karne hizo mwanamke alikua anaonekana si mali kitu kiasi kwmb alikua akizaliwa anauliwa?
 
Miaka yote hawakupractice ndo wamekuja kupractice sahv si ndio?...inawezekana vipi afanye ivo pekee yake karne zote hizo...yanii yeye alikua na nguvu sana au alikua binadamu wa aina gani
Mgalatia hebu hiyo habari vzr hiyo sheria imepitishwa na bunge lkn sio uislam na wala katika sheria za ndoa hakuna kitu kama icho
 
NIKI COMENT HAPA MIMI NA NINAVYOICHUKIA HIYO DINI.

NITAPIGWA BAN MAISHA.
Weeh bado kabisaa wenye kuichukia uislam walikuwepo wameenda weeh sawa sawa na pimbi tuu...
Sababu kwa nini usimchukie Papa aliyeongea na mungu wabarikiwe wenye ndoa ya jinsia moja? ..tena waraka upo wazi kabisaa na kasema Africa mnabisha sahv lkn mtaelewa tuu kidogo kidogo mana'ke kifilo kipo pale pale...
Jambo wamepitisha wenyewe bungeni huko weeh unasema uislam ndo palivyoandikwa ivo au umesoma kama unavyosoma biblia pembeni upo na Aggrey?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…