Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

View attachment 3210378

Bunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.

Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka, na mirathi, huku ikiondoa sheria ya hapo awali inayokataza ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ambayo imekuwepo tangu miaka ya 1950.

Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu wa Shia ambao ndio wengi zaidi nchini Iraq, umri wa chini zaidi wa kuolewa utakuwa miaka tisa, na wa Sunni, umri rasmi utakuwa miaka 15.

Pia, Soma:
Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9
Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa
Dah..!!! Hatari
 
Wewe ostadhi ubwabwa iwe makubaliano au sio makubaliano, acheni kurasimisha ubakaji na ukatili kwa watoto.!!
Sheria ya bunge Iraq inatuhusu nini na sie waislam wa mburahati hebu tuliza kichwa kusoma vzr hiyo habari weeh mgalatia
Kumbuka huo sio waraka wa Papa Francis ambao kasema kaongea na mungu wabarikiwe LGBT ili mfirane vzr
 
Kina kula mlo m1 kwa shida na akashibi kweli mazwazwa nyie toto la Iraq miaka 9 ufananishe na wako we kweli kenge maji Google uko miaka 9 mzungu au mwarabu tena w Iraq uyo uyo utaacha upumbavu wako.
 
Jamaaa anaangaika sana kufanya propaganda kuuchafua Uslamu lkn nyinyi ni maskini wa akili kiloo kipesa mnaangaika kufanya mambo ayawapi faida zaid mnaonekana ni wanafiki kwa mtu mwenye akili embu jibuni kama nyinyi sio wanafiki lkn akili zenu ndogo kama kunde jibu jibuni Swali ili wasomaji wawaone jehova vichwani mpo OK nawaliza nyote jehova JE kinachowasumbua nyinyi ni uruma kwa mtoto wa kiarabu wa Iraq au niwanafiki mbona watoto kiarabu elfu 17000 wameuwawa na Israel na nyinyi mlikuwa mnashabikia Israel iwauwe Wapalestina wakiwemo watoto wachanga jee huu sio unafiki lengo lenu kuuchafua Uslamu uku mnajamba jamba hoo aki ya mtoto miaka9!! nyote tunawajua uchangiaji wenu umu mlikuwa mnashangilia mauwaji ya Wapalestina wakiwemo watoto je mtakataa amfanyi propaganda zenu za kitoto vichwani OOOOOOO MINAFIKI ata JEHOVA awataki kawachoka kwa UNAFIKI wenu ndiomana awapi akili yoyote ya maana zaid kudhalliika tu. Loo mbaya akili ya kifukala itakusaidia nini zaid kwenda kununua udongo ukidhani utatoboa kwa uwo udongo.
 
Nikuulize weeh waraka wa Papa Francis hukuupinga?..tena mkasema hiyo ni huko huko wadhungu...!
Unajua wewe ni Mpumbavu.

Mimi sina dini wala imani ya aina yeyote ile.

Sasa nashangaa unavyo mtaja taja huyo papa Francis kila mara.

Kwani umesikia kila mtu ni mkristo hapa?
Na yeye akawajibu mtaelewa tuu kidogo kidogo mana'ke nini?
Mimi sio mkristo wala muislamu. Wala sina dini ya aina yeyote ile.

Hao wairaq ni waislamu halafu wewe unataka kupindisha ukweli.

Are you fool?
 
Kwenda zako huko huna dini yalikuhusu nini maswali yote yale na ukatag mpk sharia law za Iraq ulikua unatafuta nini?
 
Ushetani aisee.

Hivi waislamu wa maeneo mengine ya dunia hawawezi kulikemea hili swala?
Bado hujawajua vizur wewe 😅

"A moderate muslim is a Muslim who doesn't follow all Islamic teachings but agrees with those teachings"

Hao unaotaka wakemee, hao moderate muslims, are wolves in sheep's clothing, be careful.
 
Nikushangae wewe kutetea watoto wa Iraq lkn watoto wa Palestine unaona halali kuuliwa tena unasema watoto wa magaidi nyie wagalatia mna wazimu?..
Mmeweza kumzushia Yesu ni mungu tena na mapicha ya kila aina tuaamini yule ni Yesu ndo mtashndwa vipi kumzushia Mtume?..yanii kitambo hicho alibaka wakamtizama tuu si ndio?
 
Wewe ushasema huna dini kinachokuhusu nini huku?na ukawaonea huruma watoto wa Iraq wasiolewe?..ila watoto wa Palestine wanauliwa bila hatia umekaa kimyaa na wala usimamishi fuvu lako
Basi haya tupeni na Sheria nyngn huko Iraq waliyopitisha tufuate ili mfurahi..
 
Hawa watu wana tatizo la afya ya akili siyo bure, mtu anawezaje kuoa kitoto cha miaka 9?
 
Hizi dini ni tatizo moja wanaruhusu kuoa watoto lingine ndoa ya jinsia moja.

Tuachane na dini zilizokuja na mashua tumwamini Mungu pekee.
 
Hebu soma vzr hiyo habari wala haihusiani na dini ya uislamu...
Bunge la Iraq limeamua kupitisha na kushusha umri wa kuoa sasa sheria za uislamu hapo zina practice vipi?..na kwani wa Iraq ndo wanarun uislamu ulimwenguni?
 
NATAKA NIONE WANAHARAKATI WA FREE PALESTINE WAKIANDIKA NYUZI HUMU KUPINGA UNYANYASAJI,

OOH , HADI MUISRAEL NA MKRISTO WABAKE MTOTO MDOGO NDIO KOSA ETI???

PUMBAVU NYIIEEE!!

View attachment 3210378

Bunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.

Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka, na mirathi, huku ikiondoa sheria ya hapo awali inayokataza ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ambayo imekuwepo tangu miaka ya 1950.

Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu wa Shia ambao ndio wengi zaidi nchini Iraq, umri wa chini zaidi wa kuolewa utakuwa miaka tisa, na wa Sunni, umri rasmi utakuwa miaka 15.

Pia, Soma:
Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9
Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa
Kwenye hilo bunge kuna wenye vipara, wenye mvi , pia wamefuga ndevu za kutosha! (kuwaona kama watu), kumbe bure kabisa!!! Sijui huwa wanafikiri kwa kutumia nini? Mtoto wa miaka tisa aolewe kweli!!!? Hatari sana!!!
 
Tatizo ni itikadi mkuu wangu

Itikadi yao imefanya utapeli wa mfumo mzima wa akili, hisia na utashi wao mkuu
 
Hawa watu wana tatizo la afya ya akili siyo bure, mtu anawezaje kuoa kitoto cha miaka 9?
Tatizo ni kuwa wamekuwa wahanga wa itikadi ya kitapeli na wamekubali iwe kama higherpower katika roho zao.

Ndio maana wanafanya vituko
 
Back
Top Bottom