Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Au Mimi labda sielewi jamani, mtoto wa miaka 9 huku kwetu si anakua darasa la tatu/la nne😭😭😭😭.....inaumiza
 
Miaka 9 akiwa mzungu au mwarabu anakuwa mkubwa mwili unamkuzo, mtoto w kizungu au mwarabu anakuwa ashavunja ungo mtoto iyo sheria aisemi lazima aolewe ila imeondosha migogolo kwenye famiry

mtoto akitaka mwenywe kuolewa isiwe dhambi kisheria mtoto aliamua mwenyewe ujue anafundishika na kufua nguo
wenzetu uko nguo ufuliwa na mashine kwa %90 au mfanyakazi sio lazima ajue kufua nguo zake

kupika uwa wanapika mume wake atampa upendo ambao apati kwengine, sasa mtu eti anakiangalia kitoto chake chenye minyooo isio isha anazani miaka9 watoto wote wanakuwa kama uyo wakwake anaeshindia miogo! Yakukaanga!!!!!
 
Miaka 9 akiwa mzungu au mwarabu anakuwa mkubwa mwili unamkuzo tofauti na vitoto vyetu uku vyenye minyooo isio isha
mtoto w kizungu au mwarabu anakuwa ashavunja ungo mtoto iyo sheria aisemi lazima aolewe ila imeondosha migogolo kwenye famiry

Unatetea hili suala? Una mtoto wa kike mdogo?
 
Miaka 9? Hawako serious hawa, miaka hiyo ni mtoto ambaye hata hajavunja ungo, waache bangi
Bora bangi,hawa waache Ndumu.

Hii dini kwanini wanamchukulia jinsia ya kike kikatili hivi, mara mabikira 72 kwa wanaume...wanawake wao watakuta nini huko wakifa? Haya ndio hii tena ,nimemfikiria binti yangu wa miaka 6,imebidi nicheke tu.
 
Miaka 9 akiwa mzungu au mwarabu anakuwa mkubwa mwili unamkuzo tofauti na vitoto vyetu uku vyenye minyooo isio isha
mtoto w kizungu au mwarabu anakuwa ashavunja ungo mtoto iyo sheria aisemi lazima aolewe ila imeondosha migogolo kwenye famiry

mtoto akitaka mwenywe kuolewa isiwe dhambi kisheria mtoto aliamua mwenyewe ujue anafundishika na kufua nguo
wenzetu uko nguo ufuliwa na mashine kwa %90 au mfanyakazi sio lazima ajue kufua nguo zake

kupika uwa wanapika mume wake atampa upendo ambao apati kwengine, sasa mtu eti anakiangalia kitoto chake chenye minyooo isio isha anazani miaka9 watoto wote wanakuwa kama uyo wakwake anaeshindia miogo! Yakukaanga!!!!!
Aisee una mtt wa kike?
 
Ujinga huu. Hakuna tofauti ya kukua kwa kuzingatia rangi. Wewe una mtoto wa miaka 9 unipe nioe?
 
mume wake atampa upendo ambao apati kwengine, sasa mtu eti anakiangalia kitoto chake chenye minyooo isio isha anazani miaka9 watoto wote wanakuwa kama uyo wakwake anaeshindia miogo! Yakukaanga!
Acha uongo Babu.
 
Apa kwetu pia sheria ya miaka 18 inavunjwa kwa 70% lkn Serikali inajikita zaid kuokoa watoto waliolazimishwa ndoa au wenye uwezo Dalasani lkn kikashawishiwa kuolewa au wkt mwengine Wazazi uwataka watoto wao wafanye vibaya mitiani ili wapate kuolewa Bahazi ya Washajua mfumo wa Serikali sasa wanaukwepa kwa kuwataka watoto wao wajifelishe lkn Serikali inajua wapo watoto wanaolewa wakiwa na chini ata 15 lkn wakitasmini shule O kweli au asomi kabisa ndoa kataka mwenywe kuolewa unamtoaje ili iweje

Wewe pumbavu zaid mambo ya Iraq Tanzania yanatuusu nini kenya apo mchungaji kakutwa hotel na mke wamtu wameng.ang.aniana
mashine aitoki kwa mwanamke kwann tuende mbali uko Iraq

habari zipo tam tam apo kenya kaunt ya kericho watu wamepigwa na butwaaa!!!!
SS kenya much kukutwa na mke wa mtu inahusiana nn na hii madam?
Tena hap no watu wazima wenye akili timamu, ndo sawa na mtt wa miaka 9 kuolewa?

Nonsense
 
Kwamba wao wameisoma dini kuliko mtume mwenyewe alishushiwa na Allah . Hadi akaoa katoto ka miaka6?
Waje hapa
Awawezi kuja kwannn kichwani mwao wanajua kuna viongozi w KANISA WAKUBWA wana kashfa kubwa Duniani ya kuwalawiti watoto wakiume wakiwa na miaka 3+
nini miaka 9 tena kike
hii sio Habari uko mureba mtoto wakike miaka 8 kaitwa kuangalia Cenema kijana kapitanae na mtoto akusema popote kanyuti

kilifanya wajue akitembea ndio kumuuliza vipi wewe kubanwa ndio akachoma Tanzania hii miaka 8 juzi tu !!!!!

wewe unapiga propaganda miaka 9 zama zile miaka imepita 1700 pengine au zaid uyo miaka 9 utafananisha na kizaz chasasa!!!!

siungi mkono aya mambo!!!!!! lkn watu wamejitungia sheria kwao uko waarabu nyinyi uku mnafanyia propaganda Kazi mnayo!!!

Amna habari za mana RAIS SAMIA kuvunja lekodi ya viongozi wote wa nchi hiii kwakupokea maRais 24 hii ndio mala ya kwanza,, nyie mpo IRAQ!!!!!
 
Miaka 9 akiwa mzungu au mwarabu anakuwa mkubwa mwili unamkuzo tofauti na vitoto vyetu uku vyenye minyooo isio isha
mtoto w kizungu au mwarabu anakuwa ashavunja ungo mtoto iyo sheria aisemi lazima aolewe ila imeondosha migogolo kwenye famiry

mtoto akitaka mwenywe kuolewa isiwe dhambi kisheria mtoto aliamua mwenyewe ujue anafundishika na kufua nguo
wenzetu uko nguo ufuliwa na mashine kwa %90 au mfanyakazi sio lazima ajue kufua nguo zake

kupika uwa wanapika mume wake atampa upendo ambao apati kwengine, sasa mtu eti anakiangalia kitoto chake chenye minyooo isio isha anazani miaka9 watoto wote wanakuwa kama uyo wakwake anaeshindia miogo! Yakukaanga!!!!!
Nilidhani nimeona yote aisee miaka 9 hapana kwakweli, regardless anything.....umuingilie mtoto wa miaka 9 jaman kweli!!!!! Nimeugua moyo sana
 
Bora bangi,hawa waache Ndumu.

Hii dini kwanini wanamchukulia jinsia ya kike kikatili hivi, mara mabikira 72 kwa wanaume...wanawake wao watakuta nini huko wakifa? Haya ndio hii tena ,nimemfikiria binti yangu wa miaka 6,imebidi nicheke tu.
Eti wanamaanisha bado miaka 3 upate mkwe (6+3) hivi wanawachukuliaje watoto hawa😀 mdogo wangu ana 9yrs, akili zake sasa anazijua mwenyewe😀, eti ndiyo akaozeshwe 😀
 
Mwee bado miaka mitatu niitwe mkwe na jamaa ana 40 and above, inasikitisha.
 
Role model
 
Attachments

  • 1738075251931.jpg
    1738075251931.jpg
    251.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom