Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Bora Hao Kuliko walio halalisha ndoa za jinsia moja
 
Bora Hao Kuliko walio halalisha ndoa za jinsia moja
Kuna wanaohalalisha? Wote hao na hawa ni mashetani. Tena hawa wanaobaka na kulawiti watoto ndo kabisa.... Ushetani ushetani ushetani mkubwa. Wote wataenda motoni
 
Kuna wanaohalalisha? Wote hao na hawa ni mashetani. Tena hawa wanaobaka na kulawiti watoto ndo kabisa.... Ushetani ushetani ushetani mkubwa. Wote wataenda motoni
Mwanao wa miaka 9 hapo wanampaka wese kisha wanaizamisha mzazi utachekelea?
 
Kwa mujibu wa Biblia kwenye andiko la 1Wakorintho7:36 ni mpaka mtu avuke upeo wa ujana ndio anaweza kufunga ndoa,upeo wa ujana ni mda ambao mtu anakuwa anaendeshwa na tamaa za ngono,tunaweza sema ni foolish age
Kwa kuongeza hapo ,Tena biblia ya kiswahili cha kisasa imeeleza .
"Anaweza kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya kufanya"
Kwa maana kijana anayeweza kufanya maamuzi sahihi.
Sasa kwny foolish age inaanzia kidato cha pili na ikiwa kileleni ni kidato cha tatu mwishoni.
Sasa umri wa kijana wa kidato cha tatu ni miaka 17(foolish age)
Akimaliza kidato cha 4 ana miaka 18 hapa tabia za foolish age zimepungua kwa kiasi kikubwa na wengine zimeisha kabisa,
Kwaio kwa mujibu wa biblia ni 18 kwenda juu.
 
Mnachotakiwa ni kuuliza na si kuanza lawama Islam hajibu kwa vile anaelewa nini kinaendelaa hata ninyi msijitoe fahamu zamani watoto (bibi zetu) walikuwa wanaolewa.wadogo sana hata hapa hapa Tanzania. Ni kwamba yule mtoto anakwenda lelewa na wazazi wa mume hadi atakapofikia umri unaostahili kuolewa ndio anapewa mume wake na katapata huduma.zote Kama mtoto na kwamba katacheza na wenzake Kama kawaida, ila watajaribu kukaweka karibu na mhusika ili aweze kumzoea mf. jamaa akiwa anarudi nyumbani watamwambia akampokee ni ile kumuweka karibu hapo anakuwa amefanywa nini kibaya? Tena kanalala na.mama mkwe maana ni katoto au na wenzake na nyumbani kanakwenda ila hakalali huko na si mara kwa mara. Kabla hamjaamza.kashfa zenu na kuamzisha nyuzi za kurukana.viongozi wa dini ambazo sio zenu mngejaribu kuchunguza, pia ustaarabu.uchukue nafasi yake
Huna point
 
View attachment 3210378Si mnataka maendeleo na haki hapo mashariki ya kati. Si mnapendelea kutetea watoto wanaonewa wa mashariki ya kati.

Anzisheni nyuzi basi au muingie mtaani kufanya maandamano maana sidhani nyie binafsi mtataka binti zenu wa miaka 9 kuolewa.

Au hadi Liwe bunge la Israel ndio lifanye hivyo ndio iwe makosa na uoenevu

😂😂😂😂😂
Double standard
Katoto miaka 9 hakana utelezi Wala period Bado kiufupi hakajui chochote ni darasa la tatu
 
View attachment 3210378Si mnataka maendeleo na haki hapo mashariki ya kati. Si mnapendelea kutetea watoto wanaonewa wa mashariki ya kati.

Anzisheni nyuzi basi au muingie mtaani kufanya maandamano maana sidhani nyie binafsi mtataka binti zenu wa miaka 9 kuolewa.

Au hadi Liwe bunge la Israel ndio lifanye hivyo ndio iwe makosa na uoenevu

😂😂😂😂😂
Double standard
Ni sawa maana yule kiongoz

Bi Aisha pia alkua na umri wa miaka 9 aliporasimishwa rasmi kua mke wa mtume wa Mwenyezi ( S.A.W ) japo alianza kuish naye akiwa na miaka 6 Kwa hapa kwetu tunaitwa 'kumnajis" na kifungo chake ni maisha
 
Aisseeee huu ni utapeli mkuu
 
Back
Top Bottom