Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Ndo maana nimekuambia itokee Shetani anakuja kwa miguu miwili yake eti anataka mwoa binti wangu huyu miaka 10. Atazikwa pale pale. Huo ni ushetan at the highest peak. Yaani wanaume kwa sasa tunajali tu ngono.
Yaan anakuja kumchukua binti yako wa miaka 10 amfanyizie?
 
Bunge la Iraq limepitisha sheria ya kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.

Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu wa Shia ambao ndio wengi zaidi nchini Iraq, umri wa chini zaidi wa kuolewa utakuwa miaka tisa, na wa Sunni, umri rasmi utakuwa miaka 15.

Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu, mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka, na mirathi, huku ikiondoa sheria ya hapo awali inayokataza ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ambayo imekuwepo tangu miaka ya 1950.
 
Waliopitisha wana watoto kweli? 😭 watoto hawawezi kuvumilia yale maumivu 🤭
 
Mnachotakiwa ni kuuliza na si kuanza lawama Islam hajibu kwa vile anaelewa nini kinaendelaa hata ninyi msijitoe fahamu zamani watoto (bibi zetu) walikuwa wanaolewa.wadogo sana hata hapa hapa Tanzania. Ni kwamba yule mtoto anakwenda lelewa na wazazi wa mume hadi atakapofikia umri unaostahili kuolewa ndio anapewa mume wake na katapata huduma.zote Kama mtoto na kwamba katacheza na wenzake Kama kawaida, ila watajaribu kukaweka karibu na mhusika ili aweze kumzoea mf. jamaa akiwa anarudi nyumbani watamwambia akampokee ni ile kumuweka karibu hapo anakuwa amefanywa nini kibaya? Tena kanalala na.mama mkwe maana ni katoto au na wenzake na nyumbani kanakwenda ila hakalali huko na si mara kwa mara. Kabla hamjaamza.kashfa zenu na kuamzisha nyuzi za kurukana.viongozi wa dini ambazo sio zenu mngejaribu kuchunguza, pia ustaarabu.uchukue nafasi yake
Yaani umtoe mtoto kama mke alafu wakamlee kama mtoto,kwani mzazi wa mtoto hawezi lelewa nyumbani kwake ,na akifika umri wa kuolewa aje achukuliwe na hao kama mke?
Kwann kumuuza mtoto kama mtumwa?
Sio ajabu watu wenye mawazo kama wewe ndio wana rawiti watoto na kuwabaka huko kwenye vituo vya kufundishia mnaita madrasa.

Umezungumia zamani waliolewa wadogo.
Ni kweli Maumbile ya watu wa zamani yalikuwa makubwa,
Kijana wa miaka 13 alifaa kabisa kuwa mfalme.
Hata miaka ya 75 mpk 95 mtoto darasa la 5, miaka 12,
Alikuwa na umbo kubwa kias cha kuweza kufanya kazi zote km mtu mzima.
Lkn sio vitoto vya zama hizi.
Sasa ww kukubaliana na hao ni ukatiri mkubwa kwa watoto wa sasa.
 
Waislamu wanachojua ni kulombana tuu
Sikubaliani na hilo suala,, lakini sidhani kama ni sawa kusema waislam wote naamini pia Tanzania kuna waislam, lakini sidhani kama wanaafiki ili suala,ni sawa nawewe mkristo lakini kunasemekana kua ushoga umeruhusiwa je wewe kwakua ni mkristo unaungana na uyo mkristo mwenzio?

Nb mimi ni mkristo pure.
 
Bunge nchini Iraq Limepitisha sheria kuolewa mtoto mwenye Miaka sita na Kuendelea.

Screenshot_20250123-135407.jpg
 
Mnachotakiwa ni kuuliza na si kuanza lawama Islam hajibu kwa vile anaelewa nini kinaendelaa hata ninyi msijitoe fahamu zamani watoto (bibi zetu) walikuwa wanaolewa.wadogo sana hata hapa hapa Tanzania. Ni kwamba yule mtoto anakwenda lelewa na wazazi wa mume hadi atakapofikia umri unaostahili kuolewa ndio anapewa mume wake na katapata huduma.zote Kama mtoto na kwamba katacheza na wenzake Kama kawaida, ila watajaribu kukaweka karibu na mhusika ili aweze kumzoea mf. jamaa akiwa anarudi nyumbani watamwambia akampokee ni ile kumuweka karibu hapo anakuwa amefanywa nini kibaya? Tena kanalala na.mama mkwe maana ni katoto au na wenzake na nyumbani kanakwenda ila hakalali huko na si mara kwa mara. Kabla hamjaamza.kashfa zenu na kuamzisha nyuzi za kurukana.viongozi wa dini ambazo sio zenu mngejaribu kuchunguza, pia ustaarabu.uchukue nafasi yake
Unaishi dunia gani si ndio huko katoto kalikufa sababu ya severe bleeding 😢
 
View attachment 3210378Si mnataka maendeleo na haki hapo mashariki ya kati. Si mnapendelea kutetea watoto wanaonewa wa mashariki ya kati.

Anzisheni nyuzi basi au muingie mtaani kufanya maandamano maana sidhani nyie binafsi mtataka binti zenu wa miaka 9 kuolewa.

Au hadi Liwe bunge la Israel ndio lifanye hivyo ndio iwe makosa na uoenevu

😂😂😂😂😂
Double standard
Kuna makundi ya watu si binadamu mojawapo ni hao. Ht wanyama hawako hivyo. Ukiambiwa waarabu hawana akili ndiyo hayo
 
Kuna makundi ya watu si binadamu mojawapo ni hao. Ht wanyama hawako hivyo. Ukiambiwa waarabu hawana akili ndiyo hayo
Wpaumbavu kuliko watu wote duniani

Waafrika tunaewezZa kuwa wajinga ila waarabu ni wapumbavu kupindukia
 
Kw
View attachment 3210378Si mnataka maendeleo na haki hapo mashariki ya kati. Si mnapendelea kutetea watoto wanaonewa wa mashariki ya kati.

Anzisheni nyuzi basi au muingie mtaani kufanya maandamano maana sidhani nyie binafsi mtataka binti zenu wa miaka 9 kuolewa.

Au hadi Liwe bunge la Israel ndio lifanye hivyo ndio iwe makosa na uoenevu

😂😂😂😂😂
Double standard
Kwa waarabu na waislamu mwanamke ni chombo siyo binadamu.
 
Back
Top Bottom