Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha Sheria inayotoa mamlaka kwa mtu kujipima UKIMWI

Ukishajipima wao takwimu watazijuaje?

Suala sio takwimu, ukijipima uko salama basi ujikinge... ila kama umeambukizwa basi nenda kituo cha afya ujisalimishe ili ikithibitika uanze kupatiwa huduma.
 
Hivi vipimo kila mwezi ndani kwangu nilikuwa napeleka nje kutupa dusbin limejaa kwenda kutupa baada ya kutumika, sio muumini wa condom hivi vipimo ndo vilikuwa kinga yangu, kwa vile wameruhusu sasa nitakuwa huru kununua tani nzima ya H.I.V test

Ulishawahi kumpima mtu akawa ameambukizwa..? Kama ndiyo, how would you handle that..?
 
Kwa nini bunge linapitisha badala ya kutunga sheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…