Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akishajua iweje sasa wakati dawa hamna
Ukishajipima wao takwimu watazijuaje?
Hivi vipimo kila mwezi ndani kwangu nilikuwa napeleka nje kutupa dusbin limejaa kwenda kutupa baada ya kutumika, sio muumini wa condom hivi vipimo ndo vilikuwa kinga yangu, kwa vile wameruhusu sasa nitakuwa huru kununua tani nzima ya H.I.V test
Utajipeleka tu meenyewe kwenda kuanza dozi. Kwani ukijikuta unao utatulia tu home ukisubiri kufa?!Ukishajipima wao takwimu watazijuaje?