Bunge la katiba live leo jioni kumetokea nini?

Bunge la katiba live leo jioni kumetokea nini?

Unatutisha kuhusu amani, huku Tanganyika itaendelea kushamiri hata zikiwa serikali 2 au 1.

Kitaeleweka tu,msimamo ni kura ya siri na serikali tatu,FULL STOP.zaidi ya hapo Amani itakuwa Sifuri.
 
wapo live tayari hapa tbccm.
Yes bunge liko hewani. Huyo aliyeko hewani ni Dr. Tulia Akson, ni kichwa mbaya ya sheria!. Tulipojoin UDSM mwaka wa kwanza, huyu ndie alikuwa ameajiriwa kama tutorial assistant akiwa anaonekana kama form six leaver!. She is no nonsense teacher, somo lake watu tulilamba supu za kufa mtu!.
Pasco
 
Back
Top Bottom