Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Sijui leo nani ataibiwa nini.....simu,iPad tayari...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitaeleweka tu,msimamo ni kura ya siri na serikali tatu,FULL STOP.zaidi ya hapo Amani itakuwa Sifuri.
Yes bunge liko hewani. Huyo aliyeko hewani ni Dr. Tulia Akson, ni kichwa mbaya ya sheria!. Tulipojoin UDSM mwaka wa kwanza, huyu ndie alikuwa ameajiriwa kama tutorial assistant akiwa anaonekana kama form six leaver!. She is no nonsense teacher, somo lake watu tulilamba supu za kufa mtu!.wapo live tayari hapa tbccm.
mtaipenda tu. TBC1 ni kama maji