Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana wakati akiahirisha bunge spika wa bunge hilo alisema kikao kwa leo kitaanza saa 11 jioni.Maajabu mpaka hivi sasa hakuna kituo cha tv kilichokwishajiunga kunani?
mkuu,kamati ya maridhiano ipo faragha kuhusu kura ya siri na uwazi.
we kinakuuma nini?Hawa wabunge baada ya dili lao la posho kubuma,wamepanga kukaa mjengoni siku 120 ili hesabu zao zikae sawa.
wanakula posho zao bana. wewe unaulizia nini? au una mke wako huko na sasa unahisi vingine?
we kinakuuma nini?
au leo saa kumi na mbili?
wapo live tayari hapa tbccm.
Jana alisema ni saa 11 na sio saa 12.Ndo bunge linaanza sasa. Kumbe una matatizo ya kusikia na kuona. Badala ya saa 12 wewe ukatuambia saa 11
Jana wakati akiahirisha bunge spika wa bunge hilo alisema kikao kwa leo kitaanza saa 11 jioni.Maajabu mpaka hivi sasa hakuna kituo cha tv kilichokwishajiunga kunani?
mtaipenda tu. TBC1 ni kama maji