BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

Wasira Kichwa sana.

Kichwa kwa namna gani? Ni wasira huyu unayemsema? Au ni mwingine? Maana wasira ni sifuri tu. CCM wana ajenda ya siri kula za wazi wanataka kuwabana wafuasi wao na huo ni mkakati wao mkuu. Katiba wajumbe wasipo kuwa makini itapatikana ya ccm
 
Rev:Msigwa
1. Hoja kinzani ni zao la mnyukano wa CCM na WAPINZANI kwenye Bunge la Jamhuri. CCM walitaka nyongeza 50 tu lakini wapinzani wakadai waongezwe na anamshukuru Rais kuwasikiliza na kufikisha 201.

2. Uhuru wa kufikiri na kuamua usitishwe na kura ya wazi.

Kuandika katiba upya ni ishara ya wazi kuwa nchi ina tatizo....

Ameomba kila upande wa nchi utanganishwe ili na kuheshimu Akidi. Tusifunike Kombe ili mwanaharamu apite.. Kuna tofauti kati ya Union na Unity.....
 
Ikiwa kutokuwa Mwoga ni uzalendo, basi majambazi ni wazalendo namba 1. Haujatuambia kaongea kitu gani, unaleta porojo za kukamilisha posts ulizopangiwa kwa siku na wakuu wako tu.

Achane kukurupa, leteni issue kamili na za maana. Wewe unasema kaongea kwa maufaa ya Taifa, unataka sisi tuote huyu ndugu Rungwe kaongea kitu gani. Na unaposema manufaa ya Taifa unamaanisha kitu gani, maana mvuta BANGI akisikia mtu anaongelea kuharalisha Bangi atasema MANUFAA YA TAIFA, au shoga akisikia mbunge anatetea ushoga atasema ameongelea manufaa ya Taifa
Kasema haya..
1. Kura ziweza za siri, akatoa mifano ya Papa aichaguliwa kwa siri na mitume wa kiislam (aliwataja kwa majina) walichaguliwa kwa siri.
2. Alisema kunawatu wanataka wengine wafikiri na kutenda wanavyotaka wao. hili haliwezekani kwa sababu kila mtu ana kichwa chake.
3. Wengine wanang'ang'ania kura ya wazi kwa sabau wanafikiri kwa kutmia matumbo.
4. Kama mtu anataka mwingine aseme na afikiri kama anavyotaka yeye, basi amwazime kichwa..


 
Kasema haya..
1. Kura ziweza za siri, akatoa mifano ya Papa aichaguliwa kwa siri na mitume wa kiislam (aliwataja kwa majina) walichaguliwa kwa siri.
2. Alisema kunawatu wanataka wengine wafikiri na kutenda wanavyotaka wao. hili haliwezekani kwa sababu kila mtu ana kichwa chake.
3. Wengine wanang'ang'ania kura ya wazi kwa sabau wanafikiri kwa kutmia matumbo.
4. Kama mtu anataka mwingine aseme na afikiri kama anavyotaka yeye, basi amwazime kichwa..



Ngalikihinja, hapo umesomeka mkuu. Safi sana, very brief.
 
Last edited by a moderator:
Uwazi wa mikataba imewekwa wazi taarifa za mali ya viongozi iko wazi wakati niwatumishi wa umma? Sasa iweje hili kubwa kuliko chochote nchini kiwe wazi?
 
Hawa wa ajabu sana wako km wanamkomoa mtu wanapotaka kura ya siri na kutaka mabafiliko tata naomba wapigwe chini na NCCR AU CUF next election tuone wataliaje? Waelezwe waweke wazi kwanza mikataba mbalimbali na taarifa zao za mali
 
Samahani Mkuu hapo kwenye rangi nyekundu pasomeke 'wachangiaji'. Yalikuwa makosa ya uchapaji. Sasa unaweza kunijibu. Asante kwa kusoma mchango wangu.
Ahsante pia kwa kusoma na kusahihisha. Sina uhakika kama kumpa mtu credit kwa kutoa mchango ambao kwa mtazamo wangu ni wenye mantiki yapaswa nionekane mdini. Na sina uhakika pia kama kutowapa credit wengine huo ni udini. Sidhani kama ntakosea kusema kuwa criticism yako ndiyo imejaa ishara ya udini,chuki na wivu. Tuache hii tabia ya kutamka tamka udini bila hoja za msingi. Anyway,sote wamoja katika kupata katiba bora.
 
Kuna watu wanawachukulia wengine hawawezi kufikiria, wanaposema hatuwezi kuogopa kuwawakilisha wananchi waliotutuma kwa kupiga kura za siri; kwani wakipiga kura kwa siri watakuwa hawajaweza kuwawakilisha waliowapendekeza. Uchama haufai kabisa ktk jambo kubwa la kitaifa ambalo linajenga msingi mkuu ama dira ya nchi hii kwa miaka mingi ijayo. Wananchi tutawaheshimu sana mkituretea katiba nzuri kwwa manufaa ya watz wote si chama fulani.

Vinginevyo kama inawezekana kupiga kura za wazi bunge hili litaanzisha, yawezekana na wananchi wataomba huo utaratibu wa kusimama nyuma ya mtu wanayemchagua, wakianzia na kura ya kuipitisha hiyo katiba. Neno la msingi ni kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea badala ya kupindisha mambo pengine kwa malengo yaliyofichika!
 
Hivi hawa wabunge wa ccm wanaopiga vigelegele ndani ya bunge ni ushamba au ndo ushabiki wenyewe?shame on them!
wana mtukanisha Rais aliyewaamini kwamba wana busara ya kwenda kuchambua katiba kumbe ni wahuni
 
Mtikila nimchungaji aliyechanganyikiwa yeyote anayemsikiliza inawezekana naye amechanganyikiwa kama yeye

talk science angechanganyikiwa angekuwa mirembe na hivo ni kumdharau aliyemteua!usikurupuke kwenye mambo yamsingi. tubadilike watanzania.
 
Naomba umwambie Kikwete endapo wabunge wa bunge maalumu la katiba wanakataa posho ya laki 3, basi atumie walimu kwani SISI tunafanya kazi hizo maalumu kwa posho ya 5000\= hadi 20000\=. PER DAY. Mwalimu hata akipewa biscuts na karanga, zinamtosha. Hivyo Kikwete akitufanyia 40000\=. Katiba itatoka safi ,, hapana chezea mwalimu
 
kura kwa siri mbona chaguzi tunagonga kwa siri iweje wanapoteza muda kujadili kitu kipo straight bwana hawa jamaaa vipi?
 
Chadema wanajichanganya kura ya siri itawabeba CCM,chaguzi ngapi CCM imepita kwa kura ya siri,wameingizwa mkenge
 
Ameanza kwa kupiga mkwara kuwa huenda Bunge likakosa uhalali siku za usoni , na ametoa chapisho lake ambalo atalisambaza leo

tunasubiri dakika 5 walizosema za mtikira kama kuna kidume wazubutu waone moto sisi wananchi tunamkubali
 
Chadema wanajichanganya kura ya siri itawabeba CCM,chaguzi ngapi CCM imepita kwa kura ya siri,wameingizwa mkenge
Kundecha,kapuya,mtikila,na rest wajumbe ambao wanawakilisha makundi mengine nao ila wanasupport kula ya siri nao ni CHADEMA!!!!
 
Joto la muungano lipo juu mno. Hali ya hewa itachafuka mapema mno, kuna mjumbe mmoja toka zanzibar ameanza kupiga jaramba kabla hata mechi haijaanza
 
tunaombea ekima na busara ziwatawale wajumbe hili suala la katiba liishe salama
 
Back
Top Bottom