BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

Mzee Rungwe amewaasa Wajumbe wa bunge la Katiba wasiwakwaze Nyerere na Karume huko waliko kwa kujibagua kwa lugha ya uzanzibari na Utanganyika kwa sababu tu ya kuyatetea MATUMBO YAO.
 
Sipunda Hashimu Rungwe kavunja, anaomba wanaowapa mawazo wengine wamuazime kichwa.
 
Wasira kumjibu Rungwe?ameanza kwa busara!ameanza kutisha watu na kupotosha kuhusu misamamo.eti CDM ina msimamo,
 
===>Mzee wa Juice ya Ikulu nae anamwaga ----- wake,kama kawa,sura yake sawasawa na maelezo yake,pumba tupu!
 
Kama kuna mtu ameongea kwa manufaa ya Taifa hili Mh Hashim Runge ni Mtanzania kamimili asiye mwoga aliye mzalendo wa kweli ,
 
Sasa wale walifanya yao kwa mitazamo yao ile haikuwa misahafu kwamba isibadilike mapema yeye aseme serekali 2 zinaleta madhalani umoja na serekali 3 zinaleta ukabila,ukanda basi hizi habari zakusema sijui Nyerere sijui Karume hao wameshakufa ila tunatumia pia mawazo yao kama yanafaa kwa sasa kama hayafai tupa kule.
 
Heading na ulichoandika ni uchafuzi ...wewe kama ndivyo umesikia basi tatizo ni wewe
 
Mheshimiwa Stephen Wasira anasema wanaosema CCM imekwenda na msimamo wa serikali mbili ni wanafiki kwa vile hakuna kundi ambalo halina msimamo wake na ndiyo maana CUF kupitia Kwa Habib Mnyaa walikwenda kwa Maandamano, CHADEMA wana msimamo wao ndiyo maana walizunguka kwa HELIKOPTA nchni nzima kuinadi serikali tatu. Makundi mengine kama ya wakulima, wavuvi, akina mama n.k nao wamekwenda na misimamo yao.

Huyu mzee ni kichwa sana. Bunge zima tulii, mzee anamwaga sera.
 
Steven Wassira awataka wajumbe watumie nguvu ya hoja kuleta ushawishi kwa wajumbe na siyo vijembe,na kama huna hoja ni vyema ukanyamaza kimya na kuhamasisha kuwa kura ni uamuzi wa mwisho baada ya mazungumzo.
Pia anazungumzia maadili ya bunge na taratibu za nchi zifuatwe mathalani wako DOM kwa lengo mahususi la KATIBA.
KUHUSU KURA:Yeye amependekeza kura ya wazi na kuhamasisha watu waache uwoga wa kuongea kweupeeee kwa kutolea U.S.A kama mfano wa kupiga kura ya wazi!
 
hata haowanaopendekeza kura ya wazi sio wao ila wanafikiria kwa kutumia matumbo na sio vichwa vyao.
 
Kama unaona hashim ameongea busara nadhani unaweza kuamini hata busara za mbuzi
 
Back
Top Bottom