Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,035
- 1,005
Wasira Kichwa sana.
Sijaona point ya maana ya wasira.ni pumba tu.anatetea msimamo wa ccm
Kasema haya..Ikiwa kutokuwa Mwoga ni uzalendo, basi majambazi ni wazalendo namba 1. Haujatuambia kaongea kitu gani, unaleta porojo za kukamilisha posts ulizopangiwa kwa siku na wakuu wako tu.
Achane kukurupa, leteni issue kamili na za maana. Wewe unasema kaongea kwa maufaa ya Taifa, unataka sisi tuote huyu ndugu Rungwe kaongea kitu gani. Na unaposema manufaa ya Taifa unamaanisha kitu gani, maana mvuta BANGI akisikia mtu anaongelea kuharalisha Bangi atasema MANUFAA YA TAIFA, au shoga akisikia mbunge anatetea ushoga atasema ameongelea manufaa ya Taifa
Kasema haya..
1. Kura ziweza za siri, akatoa mifano ya Papa aichaguliwa kwa siri na mitume wa kiislam (aliwataja kwa majina) walichaguliwa kwa siri.
2. Alisema kunawatu wanataka wengine wafikiri na kutenda wanavyotaka wao. hili haliwezekani kwa sababu kila mtu ana kichwa chake.
3. Wengine wanang'ang'ania kura ya wazi kwa sabau wanafikiri kwa kutmia matumbo.
4. Kama mtu anataka mwingine aseme na afikiri kama anavyotaka yeye, basi amwazime kichwa..
Ahsante pia kwa kusoma na kusahihisha. Sina uhakika kama kumpa mtu credit kwa kutoa mchango ambao kwa mtazamo wangu ni wenye mantiki yapaswa nionekane mdini. Na sina uhakika pia kama kutowapa credit wengine huo ni udini. Sidhani kama ntakosea kusema kuwa criticism yako ndiyo imejaa ishara ya udini,chuki na wivu. Tuache hii tabia ya kutamka tamka udini bila hoja za msingi. Anyway,sote wamoja katika kupata katiba bora.Samahani Mkuu hapo kwenye rangi nyekundu pasomeke 'wachangiaji'. Yalikuwa makosa ya uchapaji. Sasa unaweza kunijibu. Asante kwa kusoma mchango wangu.
wana mtukanisha Rais aliyewaamini kwamba wana busara ya kwenda kuchambua katiba kumbe ni wahuniHivi hawa wabunge wa ccm wanaopiga vigelegele ndani ya bunge ni ushamba au ndo ushabiki wenyewe?shame on them!
Mtikila nimchungaji aliyechanganyikiwa yeyote anayemsikiliza inawezekana naye amechanganyikiwa kama yeye
Prof. Safari ameuza neno la hekima.....nimeipenda hoja yake
Ameanza kwa kupiga mkwara kuwa huenda Bunge likakosa uhalali siku za usoni , na ametoa chapisho lake ambalo atalisambaza leo
Kundecha,kapuya,mtikila,na rest wajumbe ambao wanawakilisha makundi mengine nao ila wanasupport kula ya siri nao ni CHADEMA!!!!Chadema wanajichanganya kura ya siri itawabeba CCM,chaguzi ngapi CCM imepita kwa kura ya siri,wameingizwa mkenge