Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Mkuu,
Kweli kabisa manake Kenya hujiona kama ndiyo ''Afrika Mashariki yote'' kama ilivyo Mareakani wakisema ''The world'' wanamaanisha Marekani, angalau Marekani ana ubavu wa kulazimisha mambo duniani lakini siyo Kenya hata kikanda ubavu huo hawana.
Kulazimishana ili iweje?
Kwa mfano kwenye "Kung Fu"Haiwezekani ukampiku "master'' kwa kujificha/kujitenga, inabidi uende ukaketi miguuni pake ukamsome 100%,bila hivyo ni ndoto.
Lazima ukaendane nae kibiashara,miundo mbinu,elimu n.k yaani "cooperation"huku ukijifunza kama walivyofanya Rwanda awali.(kuambatana na Kenya),baadae kujisimamia.
Siku zote aliyekushinda hutompiku kwa kujitenga bali kwa kufanya kazi na biashara naye huku ukizisoma mbinu zote.
Nawasilisha.