Bunge la Kenya lapitisha mkataba wa EPA

Bunge la Kenya lapitisha mkataba wa EPA

Mkuu,
Kweli kabisa manake Kenya hujiona kama ndiyo ''Afrika Mashariki yote'' kama ilivyo Mareakani wakisema ''The world'' wanamaanisha Marekani, angalau Marekani ana ubavu wa kulazimisha mambo duniani lakini siyo Kenya hata kikanda ubavu huo hawana.

Kulazimishana ili iweje?
Kwa mfano kwenye "Kung Fu"Haiwezekani ukampiku "master'' kwa kujificha/kujitenga, inabidi uende ukaketi miguuni pake ukamsome 100%,bila hivyo ni ndoto.
Lazima ukaendane nae kibiashara,miundo mbinu,elimu n.k yaani "cooperation"huku ukijifunza kama walivyofanya Rwanda awali.(kuambatana na Kenya),baadae kujisimamia.
Siku zote aliyekushinda hutompiku kwa kujitenga bali kwa kufanya kazi na biashara naye huku ukizisoma mbinu zote.

Nawasilisha.
 
Wakenya washamba sana.. Wanafikiri maendeleo ni magorofa na maduka makubwa ya bidhaa za mzungu. Tokea uhuru hadi leo mnaendelea kuwakumbatia mabwana zanu wazungu nini kikubwa kimebadirisha maisha ya wengi wenu.? ... Mtaendelea kujitapa eti tunauchumi mkubwa wakati wengi wenu sura na ngozi zinawashupaa kwa ugali na sukuma wiki kila siku.
 
Kulazimishana ili iweje?
Kwa mfano kwenye "Kung Fu"Haiwezekani ukampiku "master'' kwa kujificha/kujitenga, inabidi uende ukaketi miguuni pake ukamsome 100%,bila hivyo ni ndoto.
Lazima ukaendane nae kibiashara,miundo mbinu,elimu n.k yaani "cooperation"huku ukijifunza kama walivyofanya Rwanda awali.(kuambatana na Kenya),baadae kujisimamia.
Siku zote aliyekushinda hutompiku kwa kujitenga bali kwa kufanya kazi na biashara naye huku ukizisoma mbinu zote.

Nawasilisha.
Ni wazo la ajabu kwenda kupigana pambano ambalo unajua utashindwa, kushindwa kwako kutakurudisha kuanza upya. Kama Kenya ikikomaa kuingia EPA na EU kwa njia nyingine, tutakuwa tumevunja umoja wa ushuru wa forodha automatically.
 
Nilikua namsikiliza mh zitto apo mwanzo mwa mwaka huu na mwishoni mwa mwaka jana alisema ili kuweza kua na viwanda ni kujipanga kwanza shambani ili kua na raw materials ya kutosha alafu ndo tujenge viwanda kwamaana nilivyomuelewa tutauza kwanza nje kahawa zetu kwa wingi pamba zetu mkonge na mengine alafu viwanda vitakuja kuongeza thamani badae akasema bora epa kusitisha kwanza kujitafakari sasa hayo mazao tutauzaje nje korosho zetu sasa zitakua zinapita tena kenya alafu ziende ulaya jmn tumeambiwa tufanye kazi sasa tutakua na raw materials ambazo kenya ndo atakua anakuja chukua akauze ulaya mi naona kama tunapotea kabs ingawa mwanzo tulipotea kisa kutojipanga eti kilimo kwanza mkurungezi na makatibu wanaenda simamia mashamba na miradi na kugawa jembe la mkono alilobeba kwenye gari la mil 200 haya ngoja tuone
 
Hamna namna , tabidi mlime tu hayo mazao,mje mtuuzie sisi tukazi process(value addition) tukaziuze Ulaya chini ya mpango wa EPA!..........😀😀😀!
 
Back
Top Bottom