Hawa ndio watu serious kwenye masuala ya miundombinu na maendeleo ya matumizi ya gesi asilia hata kama hawazalishi gesi hiyo!
Tanzania pamoja na kuwa na gesi nyingi hatujaweza kuisambaza hata Dar ambapo tayari mabomba kutoka Songosongo yalishawekwa zamani.
Ni hawa akina Rostam tulioshindwa kuwatumia hapa kwetu wanatumika Kenya!
Kenyans will now be required to install Liquified Petroleum Gas (LPG) pipes and taps, all of which should be incorporated in building designs before approval, following cabinet resolutions passed on Monday.
Anacheza nyimbo ya Muhogo wa Jang'ombe remix ya Kihindi, huku kachori za dengu za moto na chutney vikimsubiri. Hana wasiwasi.mama yuko anazuguka huko middle east anakula bata
Huko hakuna chawa jamaa wapo serious na nchi yaoHawa ndio watu serious kwenye masuala ya miundombinu na maendeleo ya matumizi ya gesi asilia hata kama hawazalishi gesi hiyo!
Tanzania pamoja na kuwa na gesi nyingi hatujaweza kuisambaza hata Dar ambapo tayari mabomba kutoka Songosongo yalishawekwa zamani.
Ni hawa akina Rostam tulioshindwa kuwatumia hapa kwetu wanatumika Kenya!
Kenyans will now be required to install Liquified Petroleum Gas (LPG) pipes and taps, all of which should be incorporated in building designs before approval, following cabinet resolutions passed on Monday.
waTz tumepigwa aiseeAnacheza nyimbo ya Muhogo wa Jang'ombe remix ya Kihindi, huku kachori za dengu za moto na chutney vikimsubiri. Hana wasiwasi.
Moto tunaoukimbiza kwa gharama kubwa ni miungu ilivyo kinyume na Mungu Mwenyezi na le giraffe mnyama wa kuzubaa, kuchelewa na kuliwa na wanyama wengine wakali.Hawa ndio watu serious kwenye masuala ya miundombinu na maendeleo ya matumizi ya gesi asilia hata kama hawazalishi gesi hiyo!
Tanzania pamoja na kuwa na gesi nyingi hatujaweza kuisambaza hata Dar ambapo tayari mabomba kutoka Songosongo yalishawekwa zamani.
Ni hawa akina Rostam tulioshindwa kuwatumia hapa kwetu wanatumika Kenya!
Kenyans will now be required to install Liquified Petroleum Gas (LPG) pipes and taps, all of which should be incorporated in building designs before approval, following cabinet resolutions passed on Monday.
Yani kama ni karata basi tumepata bonge la garasa.waTz tumepigwa aisee
Hakika, wamatuacha mbali sana, sisi tuko tunapiga mark time tuHawa jamaa dispite politics zao, lakini bado likija suala la forward thinking wako different from us.
Sisi huku tunazunguka pale pale miaka nenda rudi
Ndo elimu hiyo sisi bado tunakazana kukifanya kiswahili kiwe lugha ya kufundishia hadi a levelHawa jamaa dispite politics zao, lakini bado likija suala la forward thinking wako different from us.
Sisi huku tunazunguka pale pale miaka nenda rudi
Ndo elimu hiyo sisi bado tunakazana kukifanya kiswahili kiwe lugha ya kufundishia hadi a level
Engilish iwe main language , ili watu wapate kujua yanayoendelea huko duniani. Kiswahili kimetufanya tuwe na confined mindset watu hadi taarifa ya habari cnn wanataka watafsiriwe na mkandaraWhy are we backwards? Always tuko stucked sehem hiyo hiyo miaka nenda rudi
Engilish iwe main language , ili watu wapate kujua yanayoendelea huko duniani. Kiswahili kimetufanya tuwe na confined mindset watu hadi taarifa ya habari cnn wanataka watafsiriwe na mkandara
✅Hawa ndio watu serious kwenye masuala ya miundombinu na maendeleo ya matumizi ya gesi asilia hata kama hawazalishi gesi hiyo!