Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Watu wenyewe watoro,serikali imewashika masikio,uchawa umetawala,mgao wa Zenj.umeongezwa asilimia 10% nani aliafiki,sasa bajeti inakwama,mafungu hakuna mnaimba wimbo wa mashirika kichefuchefu wakati hata Ofisi ya Rais ni shirika na bunge lenyewe ni shirika,pesa ziko wapi.Pesa zinalipwa kwa control number mafungu ya kila mwezi yana kuja mwanzoni MWA mwaka na miezi mitatu ya mwisho,makusanya hayarudi,ni shirika gani kichefuchefu kama sio bunge na jumba jeupe.Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali kwa Waziri Mkuu na atoa majibu, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma.
View: https://www.youtube.com/live/ECVGyl8jL60
Hakuna bunge wala Mbnge, ni mkusanyiko wa wezi na majambazi ya siasaKwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali kwa Waziri Mkuu pamoja na Mawaziri wanatoa majibu, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma.
View: https://www.youtube.com/live/ECVGyl8jL60