Bunge la Lebanon lasema Hezbollah wameshindwa vita wajisalimishe!!

Warabu wanapojizima data

Utashindanaje vita na majamaa yenye historia zote mbaya na za kuogofya?

Masihii yalimuuwa

Yakobo, kazichapa kavukavu na malaika

Daudi akiwa under 12y. Kalichapa jamaa baunsa na jitu la kutisha Goliat

Samsani alikuwa akipigana na mamia elfu wa kifilisti na kuwashinda

Unaanzaje kujiona mwamba kwa watu kama hao?
 
Eti Hezbullah asalimishe silaha mdomo wake umevimba kama kaumwa na nyuki huyu ndio akawambie Hezbullah wasalimishe silaha huyu Wierdo kabisa 😆 😂 Israel kashindwa kwenye vita waje wao wamshinde Hezbullah kwa mdomo kama mizinga ya saba saba.
Kama hii vita mnadai Israel imeshindwa Basi sasa naamini hata Ile ya 2006 Hezbollah alipigwa sana na Israel ilishinda Ile vita.
 
Tunaishukuru serikali ya Lebanon kwa maono haya tunaomba sasa iungane na baraka za yehova kwa kuungana na kuibariki lsrael maana yeye mwenyewe alisema "Atakaye ibariki lsrael na yeye atabarikiwa" Amina
 
Kama hii vita mnadai Israel imeshindwa Basi sasa naamini hata Ile ya 2006 Hezbollah alipigwa sana na Israel ilishinda Ile vita.
Sa lini Israel alishinda vita we unadhani Israel ataweza kupigana na Hezbullah bila USA kuingilia 😄 🤣
 
Warabu wanapojizima data

Utashindanaje vita na majamaa yenye historia zote mbaya na za kuogofya?

Masihii yalimuuwa

Yakobo, kazichapa kavukavu na malaika

Daudi akiwa under 12y. Kalichapa jamaa baunsa na jitu la kutisha Goliat

Samsani alikuwa akipigana na mamia elfu wa kifilisti na kuwashinda

Unaanzaje kujiona mwamba kwa watu kama hao?
Wachumba tu hamasi hajapoteza hata 20% ya wapiganaji wake sasa ndio nini wanapigana na nini
 
Nani kakuambia huyo ni mbunge wa Hezbullah bwege nini wewe
Hivi wana wa Mbwa mna matatizo gani? Nani kakudanganya huyo ni mbunge wa Hezbollah?? Huyo ni mbunge wa
Sa lini Israel alishinda vita we unadhani Israel ataweza kupigana na Hezbullah bila USA kuingilia 😄 🤣
Maneno ya mkosaji hayo!!
 
Hivi hawa wanaolia lia wakitaitiwa ndio wawashinde hezb? Hata mgbo wa bongo hao IDF hawawezi
HICHO KIPIGO MPK NIMECHEKA...NIMEONA SASA WHY MAREKANI ANAWASAIDIA HAWA HOHE HAHE
 
Hii vita Kuna jeshi la USA lilipigana na Hezbollah?
We hua unaziona ndege za US kichaa kweli, we unadhani aliye muuwa Nasurlah ni nani kama sio US Air force bwege mmoja
wewe. Israel alikuwa hata hawajui wakambiwa wakati Shetanyahu yuko UN kwamba US wamemuwa Nasurlah afu Israel wakajidai ni wao ndio wamemuwa hahaha 😆
 
Tupe ukweli Mwana wa Mbwa wewe!!!!! Au kilichomuua ni yale mapepo?
 
Eti Hezbullah asalimishe silaha mdomo wake umevimba kama kaumwa na nyuki huyu ndio akawambie Hezbullah wasalimishe silaha huyu Wierdo kabisa 😆 😂 Israel kashindwa kwenye vita waje wao wamshinde Hezbullah kwa mdomo kama mizinga ya saba saba.
Tumia basi na wewe akili zako vizuri ewe Mwana wa Mbwa, nakukumbusha tu Operation Beeper Hezbollah hawatasahau Pager. 📟 waangalie hapo chini walipokuwa wakifanya parade wote vilema na mpaka sasa hivi karibu jeshi zima ni vilema
Wengi walikosa macho.
Wengi walikosa miguu.
Wengi walikosa makende.
Hii ilikuwa operesheni ya ajabu zaidi ya kupambana na ugaidi katika historia ya vita, na Israeli iko nyuma yake Hongera sana IDF

View: https://x.com/vividprowess/status/1915405383692410938?s=61
 
Nguruwe alivyo mtamu hivyo!!! Nyama safi sana hiyo ndiyo maana kwetu tunaiita Mkuu wa Meza!!!
Sa we hujui nguruwe ni mnyama peke yake anaye liwa wanaingilia wanaume kwa wanaime ndio mana watu wakanisa mmekaa kinguruwe nguruwe tu.

Poleni wala uchafu mgekula mbuzi, kondoo, ngamia, ngo'mbe, nyati, punda mlia, twiga, swala, digidigi mgepata akili lakini nguruwe.
 
Ndiyo maana Mahmud Abbas kawaita Wana wa Mbwa!!!
 
Back
Top Bottom