Bunge la Lebanon lasema Hezbollah wameshindwa vita wajisalimishe!!

Bunge la Lebanon lasema Hezbollah wameshindwa vita wajisalimishe!!

Tumia basi na wewe akili zako vizuri ewe Mwana wa Mbwa, nakukumbusha tu Operation Beeper Hezbollah hawatasahau Pager. 📟 waangalie hapo chini walipokuwa wakifanya parade wote vilema na mpaka sasa hivi karibu jeshi zima ni vilema
Wengi walikosa macho.
Wengi walikosa miguu.
Wengi walikosa makende.
Hii ilikuwa operesheni ya ajabu zaidi ya kupambana na ugaidi katika historia ya vita, na Israeli iko nyuma yake Hongera sana IDF

View: https://x.com/vividprowess/status/1915405383692410938?s=61
Mwana wa nguruwe hivi lini Israel ataonyesha vilema wake au yeye watu wake ni vyuma walitengenezwa kwa vyuma na moto 😆 😂
 
Endelea kubwabwaja ovyo!! Lakini Hezbollah sasa hivi wanachechemea hawana hamu. Kama mbunge wao kasema wameshindwa vita wewe Mmatumbi mwenzangu unapata wapi ujinga huo?
Wabunge wao kama wetu hakuna jipya. Kwahyo we unaona mbunge ni mtu wa maana sana kufikiri?
 
Wabunge wao kama wetu hakuna jipya. Kwahyo we unaona mbunge ni mtu wa maana sana kufikiri?
Huwezi kulinganisha Mbunge na mbulukenge yeyote mbunge yuko kwenye maamzi ya nchi hata kama wewe utamdharau lakini maamzi yake Hana Impact kwenye taifa
 
Sa lini Israel alishinda vita we unadhani Israel ataweza kupigana na Hezbullah bila USA kuingilia 😄 🤣
We jinga kabisa...umeleta vita afu unanichagulia wa kuungana kukufunza adhabu?yaan ni kichapo tu mpk akili ikukae
 
We jinga kabisa...umeleta vita afu unanichagulia wa kuungana kukufunza adhabu?yaan ni kichapo tu mpk akili ikukae
We mtoto wa nguruwe unapo taka kupigana vita usitegemee sana nchi zikusaidie afu we mkanisa Israel tokea kugaiwa nchi na Muingereza yeye hana chochote zaidi ashambulie huku na kule. Mlivyo mafala mnadhani Hamas ndio alianzisha vita mmesahau Israel kila kukicha kabla ya October 7th 2023 alikuwa anapiga Gaza kwa ndege.

We mkanisa nenda kaimbe kwaya tu.
 
Kubaz huna unachojua zaid ya kukariri madrasa huko...alieteka waisrael ile oct 7 ni mvaa kanzu mwenzko..sasa kayatimba kwa kupelekewa moto hadi anahidhani ni dunia nzima inampelekea moto ...kumbe ni mu esrael mwenyew tu
 
Back
Top Bottom