Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
- Thread starter
- #21
Russia mpaka sasa imetumia $billion 211 kwenye uvamizi wake wa Ukraine huku Ukraine ikitumia takribani $billion 60.Tatizo la Ukraine si upungufu wa silaha tu bali pia ina upungufu mkubwa sana wa wapiganaji na ufisadi ndani ya jeshi lake ,japo nchi za Magharibi zinajaribu kuyafumbia macho.
Mwaka jana Ukraine na washirika wake walitumia zaidi ya $ 35bilion kuandaa Offenseve lakini ilifeli vibaya ndani ya miezi miwili tu na silaha nyinyi ziliharibiwa.
Na mbaya zaidi sasa hivi kila silaha ya kimagharibi ya ardhini inayo aminika kuwa ni bora imesha pekekwa nchini Ukraine na kufeli.
Zaidi zaidi watakao faidika ni makampuni ya kutengeneza silaha na wanasiasa mafisadi ndani ya Ukraine basi.
Ukraine haijasema ina shida ya wapiganaji, imesema inao wapiganaji wa kutosha inachohitaji ni silaha tu za kutosha. Sasa sijui tukusikilize wewe au Ukraine.
Kingine fahamu msaada wa kijeshi wa Ukraine mwingi unaenda ukiwa ni mzigo wa silaha, vifaa vya kijeshi na mahitaji mengine muhimu, sio cash mkononi, kwa hiyo hizo propaganda za ufisadi ni kihoja chepesi sana.