mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Wanakumbi.
Naona hali tete huko Marekani Israel kaishiwa pesa kaomba msaada dharura wa pesa, Netanyahu kamuomba Biden pesa Biden kapeleka mswada bungeni Wamarekani wamekataa kutoa pesa ni muda sasa Waisrael weuisi ya Majji matitu, Ngudu, Kimara kupelekq pesa Israel.
View: https://x.com/sprinter99800/status/1755141597350531246?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Netanyau amejaa na kiburi wakati uchumi wake tia tia maji, bila misaada hawatoboi
Watu wengi sana wamekasirishwa sana na uhuwaji wa kikatili ya watoto na wanawake ndio imepelekea watu kupata ugumu wa kuoa pesa kuwasaidia wahuwaji