mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Netanyau amejaa na kiburi wakati uchumi wake tia tia maji, bila misaada hawatoboiWanakumbi.
Naona hali tete huko Marekani Israel kaishiwa pesa kaomba msaada dharura wa pesa, Netanyahu kamuomba Biden pesa Biden kapeleka mswada bungeni Wamarekani wamekataa kutoa pesa ni muda sasa Waisrael weuisi ya Majji matitu, Ngudu, Kimara kupelekq pesa Israel.
View: https://x.com/sprinter99800/status/1755141597350531246?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
sijui anatuchukuliaje!Mkuu issac77 muulize ndugu yangu The Icebreaker watu wa Nzega sijui tulimkosea nini?. Kila mfano mbaya yeye anaisema Nzega, nshawahi kumuuliza Nzega walimfanyaje/walimkosea nini lakini hasemi.
Wewe na wapumbavu wenzako mnajua kua matatizo ya Palestina na Zionists yalianza October 7Mlivyokuwa mnauwa 7/10//23 mlikuwa mnaimba Allahu akbar,Je mlipokuwa mnabaka siku hiyo mlikuwa mnaimba Allahu akbar mkikojoa? NAOMBA JIBU
Magaidi mtachinjwa popote paleR.I.P Joshua
Heheeeeee mimi sio wa nzega ila jamaa anaionea nzega ya watu kwel kweli 😀Mkuu issac77 muulize ndugu yangu The Icebreaker watu wa Nzega sijui tulimkosea nini?. Kila mfano mbaya yeye anaisema Nzega, nshawahi kumuuliza Nzega walimfanyaje/walimkosea nini lakini hasemi.
Wewe ukimpenda papa tu inatosha 😂😂😂Ishiiiiii! Kwa hiyo unataka niwapende Boko haram? Alqaida? Alshabab? Unayatenganishaje haya magenge ya kigaidi na Uislamu? Wote niliowataja hapo juu wanauwa huku wanaimba Allahu akbar
Harafu hao hao wayahudi wanaoendesha uchumi wanategemea misaada hivi unaakili timamu kweli?Haelewi huyo uchumi wa marekani unaendeshwa na wayahudi ni sawa na sisi useme kuanzia Leo nafukuza wahindi,na waarabu na wapemba wote.Wao ndio wameshika uchumi mkubwa na ndio waliipa Kodi wakubwa TRA
Marekani hawezi cheza na wayahudi wabunge hao pesa zinatoka Kwa wayahudi .IMF ,Word Bank vyote Mali ya wayahudi hisa nyingi
Unajisahau kama walipa kodi na walioijenga hasa hiyo US ni Irishmen.Israel inamiliki uchumi wa marekani. Biashara zote kubwa ni za wayahudi. Lazima fedha zipelekwe kule na wapalestina wataendelea kupelekewa moto.
Kwahiyo Pope France kubariki ushoga ni sawa na ukristo umebariki ufiranaji??Ishiiiiii! Kwa hiyo unataka niwapende Boko haram? Alqaida? Alshabab? Unayatenganishaje haya magenge ya kigaidi na Uislamu? Wote niliowataja hapo juu wanauwa huku wanaimba Allahu akbar
Kama una fikra za namna hii hustahili kuwa hata mwenyekiti wa mtaa.Haelewi huyo uchumi wa marekani unaendeshwa na wayahudi ni sawa na sisi useme kuanzia Leo nafukuza wahindi,na waarabu na wapemba wote.Wao ndio wameshika uchumi mkubwa na ndio waliipa Kodi wakubwa TRA
Marekani hawezi cheza na wayahudi wabunge hao pesa zinatoka Kwa wayahudi .IMF ,Word Bank vyote Mali ya wayahudi hisa nyingi
Shutuma za ubakaji Israel waliambiwa na ICC walete ushahidi wakafuta kesi.Mlivyokuwa mnauwa 7/10//23 mlikuwa mnaimba Allahu akbar,Je mlipokuwa mnabaka siku hiyo mlikuwa mnaimba Allahu akbar mkikojoa? NAOMBA JIBU
Senate advances aid package for Ukraine and Israel hii uliiona mwizi wa kobazi msikiti wa Manyema?Wanakumbi.
Naona hali tete huko Marekani Israel kaishiwa pesa kaomba msaada dharura wa pesa, Netanyahu kamuomba Biden pesa Biden kapeleka mswada bungeni Wamarekani wamekataa kutoa pesa ni muda sasa Waisrael weuisi ya Majji matitu, Ngudu, Kimara kupelekq pesa Israel.
View: https://x.com/sprinter99800/status/1755141597350531246?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kitu ndio kwanza kipo katika mjadala bado hakijapitishwa kiuhakika.Senate advances aid package for Ukraine and Israel hii uliiona mwizi wa kobazi msikiti wa Manyema?