mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Bunge la 12 limepoteza wabunge 10,ndani ya kipindi cha miaka mitano,wastani wawabunge wawili kwa mwaka.
Halu ni hiyo hiyo kila bunge
Wabunge na watia nia hawapendi kusikua habari kama hizi za kutishana
Tuwaombee bunge lijalo asife hata mkoja ili vaada ya miaka mitano tuwaulize wametufanyia nini wananchi