Bunge la Tanzania limtangaze Catarina Viera kama adui wa Katiba ya nchi

Mbona taasisi mbalimbali zimetamka. Kesi ni ushahidi. Tayari mahakama itambue hii kesi ni yakuchonga na wote wanaotamka ni mashahidi wa mshtakiwa.

Ujiulize kwa nini watu wapaaze sauti aachiwe? Ina maana jamii inamfahamu.
Unataka kusema ushahidi wa kushiriki uhaini kwa kuwatumikia mataifa ya nje unazidi kujidhihirisha?
 
Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??

Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Mahakama zipi za Tanzania haziingiliwi?
Mwanachama wenu mwandamizi huyo hapo alishaweka wazi
 
Nchi zote duniani,zinatawaliwa na sheria 2, sheria za kitaifa,local laws or domestic laws, na international laws ambazo Tanzania tumezisaini na kuziingiza kwenye domestic laws likiwemo tamko la UDHR,nchi yoyote ikikiuka haki za binaadamu,inashukiwa kama mwewe!。

Japo kila nchi inapaswa kuwa huru na kutoingiliwa mambo yake ya ndani,sovereignity yake,lakini inapokiuka haki za binaadamu,hili sio jambo la ndani,ni jambo la kimataifa,na ikitokea Mungu akaamua kukaita kwake kale kasimba ka Kizimkazi,kakiwa kwenye ile cage,katampeleka huyu Mama,The Hague!

Tumemshauri bora tuu akaachie hako kasimba ka Kizimkazi,kanatuchafulia bure hali ya hewa kwa noise polution kutoka kila kona!,Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

Na hapo ni hivi vi bwanamdogo EU, very soon,kaka mkubwa US,ataingilia kati!

Kaachiwe tuu!。

P
Njoo na kifungu cha hiyo sheria.
siku hizi kukamatwa na kufunguliwa mashtaka mahakamani ni kukiukwa kwa haki za binadamu?
Unataka kukubaliana na MEP huyu ambaye ni kinda sana kwenye siasa eti mahakama imuachie huru.
Unataka kuwepo kwa precedence kwamba nikiwa na kesi napeleka Lalamiko EU ili mahakama ya Tanzania iamrishwe kuamua??
 
Unataka kusema ushahidi wa kushiriki uhaini kwa kuwatumikia mataifa ya nje unazidi kujidhihirisha?
Sasa nyinyi mnamtuhumu kwa kosa lipi? Mazingira ya kufanya uhaini unayajua?Utasema alisema mwenyewe? Je ulimwelewa alikuwa anamaanisha nini?

Mtu akisema ukienda kuiba sadaka kanisani ni dhambi ina maana yeye ni mwizi?

Je hapo kuna mwizi au aliyesema ukiiba sadaka ndiye mwizi.

Tafakari vizuri.
 
Maneno na vitendo vya sirini ukiyajumuisha utapata majibu
 
Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??

Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Una manisha kangaroo cort? kuna mahakama pale?
 
jingalao wewe endelea na propaganda zako za "CCM mbele kwa mbele" na "mama hivi, mama vile", lakini haya mambo unayoyaingilia ni makubwa zaidi ya uwezo wako wa kuchanganua, kufikiri na kuamua mambo.

Nasikia hapo Lumumba mmekuja na " Ombaomba wa Sa100", kampeni ya kuwatumia vijana ombaomba wa barabarani!?
 
Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??

Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
kwani catarina ni nani? haujamuelezea
 
Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??

Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Mayalla huyu huyu?
Ama huyu aliyeokotwa jalalani naye ni mtaalamu wa sheria?
Vp yule aliyesema kuwa kinyesi cha ng'ombe kinaua samaki kule mto Mara naye ni mtaalamu wa hizi mambo?
 
Tanzania ndio Nchi pekee amabayo Mtu akimtukana Kiongozi au kuitukana Nchi ati ndio anaonekana mpigania Haki.
kabisa, na huo mdomo ukipigwa wanasema hakizake zimeminywa
 
Nchi zote duniani,zinatawaliwa na sheria 2, sheria za kitaifa,local laws or domestic laws, na international laws ambazo Tanzania tumezisaini na kuziingiza kwenye domestic laws likiwemo tamko la UDHR,nchi yoyote ikikiuka haki za binaadamu,inashukiwa kama mwewe!。

Japo kila nchi inapaswa kuwa huru na kutoingiliwa mambo yake ya ndani,sovereignity yake,lakini inapokiuka haki za binaadamu,hili sio jambo la ndani,ni jambo la kimataifa,na ikitokea Mungu akaamua kukaita kwake kale kasimba ka Kizimkazi,kakiwa kwenye ile cage,katampeleka huyu Mama,The Hague!

Tumemshauri bora tuu akaachie hako kasimba ka Kizimkazi,kanatuchafulia bure hali ya hewa kwa noise polution kutoka kila kona!,Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

Na hapo ni hivi vi bwanamdogo EU, very soon,kaka mkubwa US,ataingilia kati!

Kaachiwe tuu!。

P
Aisee umefikia hatua ya kumtakia binadamu mwenzako kifo.? 😩
 
Kama mlikubali kuingiliwa kiuchumi unakataaje kisheria?..

Hao wanasheria ndo walinunuliwa kuingia mikataba ya kijinga, iweje leo wawe na legitimacy ya kusimamaia sheria yoyote ya nchi hii?
 
Tanzania ndio Nchi pekee amabayo Mtu akimtukana Kiongozi au kuitukana Nchi ati ndio anaonekana mpigania Haki.
Tanzania ni nchi pekee kwa mengi ndugu yangu lakini kubwa kuliko yote Tanzania ni nchi ya pekee raia akimkosoa kiongozi na kudai utawala unaozingatia sheria na katiba, anatekwa, anateswa, anapotezwa na kuuawa.
 
Back
Top Bottom