Bunge la Tanzania limtangaze Catarina Viera kama adui wa Katiba ya nchi

Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??

Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Kwa hiyo ukimtangaza ndiyo utamfanya nini? Utaenda kuvunja mlango wa nyumba yake usiku na kumpiga hadi kumuua?

Wao wanakata misaada na kuweka vikwazo, nyie endeleeni kujifanya wajuaji, itakula kwenu.
 
Nchi zote duniani,zinatawaliwa na sheria 2, sheria za kitaifa,local laws or domestic laws, na international laws ambazo Tanzania tumezisaini na kuziingiza kwenye domestic laws likiwemo tamko la UDHR,nchi yoyote ikikiuka haki za binaadamu,inashukiwa kama mwewe!。

Japo kila nchi inapaswa kuwa huru na kutoingiliwa mambo yake ya ndani,sovereignity yake,lakini inapokiuka haki za binaadamu,hili sio jambo la ndani,ni jambo la kimataifa,na ikitokea Mungu akaamua kukaita kwake kale kasimba ka Kizimkazi,kakiwa kwenye ile cage,katampeleka huyu Mama,The Hague!

Tumemshauri bora tuu akaachie hako kasimba ka Kizimkazi,kanatuchafulia bure hali ya hewa kwa noise polution kutoka kila kona!,Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

Na hapo ni hivi vi bwanamdogo EU, very soon,kaka mkubwa US,ataingilia kati!

Kaachiwe tuu!。

P
Kwa hili Pasco umekuwa mzalendo halisi, umeongea ukweli kwa maslahi ya nchi yetu, mwenye masikio na asikie.
Tanzania ndio Nchi pekee amabayo Mtu akimtukana Kiongozi au kuitukana Nchi ati ndio anaonekana mpigania Haki.
Hivi matusi yanauma sana eti?
Hivi ukitukanwa unavunjika mguu?

Kwa nini anayetukana asishtakiwe akafungwa kama ni kosa kisheria.

Adhabu ya matusi ni kumteka mtu na kumuua kabisa?

Padri Kitima nae alikuwa anatukana sana matusi?
 
Kwa hili Pasco umekuwa mzalendo halisi, umeongea ukweli kwa maslahi ya nchi yetu, mwenye masikio na asikie.

Hivi matusi yanauma sana eti?
Hivi ukitukanwa unavunjika mguu?

Kwa nini anayetukana asishtakiwe akafungwa kama ni kosa kisheria.

Adhabu ya matusi ni kumteka mtu na kumuua kabisa?

Padri Kitima nae alikuwa anatukana sana matusi?
Mbona ulaya raia wanatukana polisi hadharani. Na police anafanya anachotaka kufanya anaondoka.

Tanzania ukimtukana mtu ni kama umeua. Tatizo lugha kueleweka.
 
Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??

Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Nyani haoni kundule
 
Mbona ulaya raia wanatukana polisi hadharani. Na police anafanya anachotaka kufanya anaondoka.

Tanzania ukimtukana mtu ni kama umeua. Tatizo lugha kueleweka.
Tanzania na Afrika kuna Ujinga fulani wa kikomunisti, udikteta wa kuamulia watu hadi maneno ya kuongea.

Wanataka kiongozi aonekane kama ni Mungu.
 
Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??

Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Vp mbowe alipofutiwa kesi ya ugaidi,mahakama haikuingiliwa???
 
We're watching it closely.

Since you're among "THEM" , we shall revisit.
Many thinks the same as you do,thinking I'm among them!。
I'm not one of them!。Mimi ni mzalendo stand alone!。

There is a Somali proverb that goes "A cat in her house has the teeth of a lion."
 
Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??

Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Ana aliye sema hichi ni kitabu tu?? Na anaye shindwa kulinda haki za watu kufuatana na Katiba??
 
Nchi zote duniani,zinatawaliwa na sheria 2, sheria za kitaifa,local laws or domestic laws, na international laws ambazo Tanzania tumezisaini na kuziingiza kwenye domestic laws likiwemo tamko la UDHR,nchi yoyote ikikiuka haki za binaadamu,inashukiwa kama mwewe!。

Japo kila nchi inapaswa kuwa huru na kutoingiliwa mambo yake ya ndani,sovereignity yake,lakini inapokiuka haki za binaadamu,hili sio jambo la ndani,ni jambo la kimataifa,ninashauri kale kasimba ka Kizimkazi kwenye ile cage,kaachiliwe tuu,katatuepushia mengi!

Tumemshauri bora tuu akaachie hako kasimba ka Kizimkazi,kanatuchafulia bure hali ya hewa kwa noise polution kutoka kila kona!,Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

Na hapo ni hivi vi bwanamdogo EU, very soon,kaka mkubwa US,ataingilia kati!

Kaachiwe tuu!。

P
Kaachiwe kwa sababu tuhuma ni za uongo au kaachiwe kasamehewe??
 
EU ndiyo kiboko ya CCM. Haya maazimio hayo 6 wao wameona moja tu la mashoga as if mashoga hatunao hapa. nchini.
 
Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??

Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Huo uhuru wa mahakama kama upo kwa nini kesi ya wake 19 haijatolewa maamuzi, baada ya wao kukata rufaa ni zaidi ya miaka sasa,umewahi kuuliza nini kinafanya mahakama isitoe uamuzi. Ili akili yako ijue mahakam itaamua mara baada ya bunge kuvunjwa.
Hapo akili yako ijua.
 
Nilivyo soma katikati ya maelezo yako kauli kuu ni hakuna uhaini.

Sasa huoni kama utamfaa Sana mgombea wetu kuelekea uchafuzi wa 2025. Maana unajua sharia na pia kulimisha watu Kwa jumla wao Kwa kupitia uandishi wa habari na kusoma vitabu, na hii unaonyesha uzuri wa kuwa na taaluma zaidi ya moja.
 
Back
Top Bottom