Bunge la Tanzania limtangaze Catarina Viera kama adui wa Katiba ya nchi

Mbona taasisi mbalimbali zimetamka. Kesi ni ushahidi. Tayari mahakama itambue hii kesi ni yakuchonga na wote wanaotamka ni mashahidi wa mshtakiwa.

Ujiulize kwa nini watu wapaaze sauti aachiwe? Ina maana jamii inamfahamu.
Unataka kusema ushahidi wa kushiriki uhaini kwa kuwatumikia mataifa ya nje unazidi kujidhihirisha?
 
Mahakama zipi za Tanzania haziingiliwi?
Mwanachama wenu mwandamizi huyo hapo alishaweka wazi
Your browser is not able to display this video.
 
Njoo na kifungu cha hiyo sheria.
siku hizi kukamatwa na kufunguliwa mashtaka mahakamani ni kukiukwa kwa haki za binadamu?
Unataka kukubaliana na MEP huyu ambaye ni kinda sana kwenye siasa eti mahakama imuachie huru.
Unataka kuwepo kwa precedence kwamba nikiwa na kesi napeleka Lalamiko EU ili mahakama ya Tanzania iamrishwe kuamua??
 
Unataka kusema ushahidi wa kushiriki uhaini kwa kuwatumikia mataifa ya nje unazidi kujidhihirisha?
Sasa nyinyi mnamtuhumu kwa kosa lipi? Mazingira ya kufanya uhaini unayajua?Utasema alisema mwenyewe? Je ulimwelewa alikuwa anamaanisha nini?

Mtu akisema ukienda kuiba sadaka kanisani ni dhambi ina maana yeye ni mwizi?

Je hapo kuna mwizi au aliyesema ukiiba sadaka ndiye mwizi.

Tafakari vizuri.
 
Maneno na vitendo vya sirini ukiyajumuisha utapata majibu
 
Una manisha kangaroo cort? kuna mahakama pale?
 
jingalao wewe endelea na propaganda zako za "CCM mbele kwa mbele" na "mama hivi, mama vile", lakini haya mambo unayoyaingilia ni makubwa zaidi ya uwezo wako wa kuchanganua, kufikiri na kuamua mambo.

Nasikia hapo Lumumba mmekuja na " Ombaomba wa Sa100", kampeni ya kuwatumia vijana ombaomba wa barabarani!?
 
kwani catarina ni nani? haujamuelezea
 
Mayalla huyu huyu?
Ama huyu aliyeokotwa jalalani naye ni mtaalamu wa sheria?
Vp yule aliyesema kuwa kinyesi cha ng'ombe kinaua samaki kule mto Mara naye ni mtaalamu wa hizi mambo?
 
Tanzania ndio Nchi pekee amabayo Mtu akimtukana Kiongozi au kuitukana Nchi ati ndio anaonekana mpigania Haki.
kabisa, na huo mdomo ukipigwa wanasema hakizake zimeminywa
 
Aisee umefikia hatua ya kumtakia binadamu mwenzako kifo.? 😩
 
Kama mlikubali kuingiliwa kiuchumi unakataaje kisheria?..

Hao wanasheria ndo walinunuliwa kuingia mikataba ya kijinga, iweje leo wawe na legitimacy ya kusimamaia sheria yoyote ya nchi hii?
 
Tanzania ndio Nchi pekee amabayo Mtu akimtukana Kiongozi au kuitukana Nchi ati ndio anaonekana mpigania Haki.
Tanzania ni nchi pekee kwa mengi ndugu yangu lakini kubwa kuliko yote Tanzania ni nchi ya pekee raia akimkosoa kiongozi na kudai utawala unaozingatia sheria na katiba, anatekwa, anateswa, anapotezwa na kuuawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…