Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Kwa hiyo ukimtangaza ndiyo utamfanya nini? Utaenda kuvunja mlango wa nyumba yake usiku na kumpiga hadi kumuua?Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??
Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Ndiyo maana wananchi wanasema wameuchoka mfumo wenu. Wanataka watengeneze mfumo wao wa kujitawala.Maneno na vitendo vya sirini ukiyajumuisha utapata majibu
Kwa hili Pasco umekuwa mzalendo halisi, umeongea ukweli kwa maslahi ya nchi yetu, mwenye masikio na asikie.Nchi zote duniani,zinatawaliwa na sheria 2, sheria za kitaifa,local laws or domestic laws, na international laws ambazo Tanzania tumezisaini na kuziingiza kwenye domestic laws likiwemo tamko la UDHR,nchi yoyote ikikiuka haki za binaadamu,inashukiwa kama mwewe!。
Japo kila nchi inapaswa kuwa huru na kutoingiliwa mambo yake ya ndani,sovereignity yake,lakini inapokiuka haki za binaadamu,hili sio jambo la ndani,ni jambo la kimataifa,na ikitokea Mungu akaamua kukaita kwake kale kasimba ka Kizimkazi,kakiwa kwenye ile cage,katampeleka huyu Mama,The Hague!
Tumemshauri bora tuu akaachie hako kasimba ka Kizimkazi,kanatuchafulia bure hali ya hewa kwa noise polution kutoka kila kona!,Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?
Na hapo ni hivi vi bwanamdogo EU, very soon,kaka mkubwa US,ataingilia kati!
Kaachiwe tuu!。
P
Hivi matusi yanauma sana eti?Tanzania ndio Nchi pekee amabayo Mtu akimtukana Kiongozi au kuitukana Nchi ati ndio anaonekana mpigania Haki.
Katiba inatambua uhuru wa kuongeahuo mdomo utapigwa na kitubutu
Mbona ulaya raia wanatukana polisi hadharani. Na police anafanya anachotaka kufanya anaondoka.Kwa hili Pasco umekuwa mzalendo halisi, umeongea ukweli kwa maslahi ya nchi yetu, mwenye masikio na asikie.
Hivi matusi yanauma sana eti?
Hivi ukitukanwa unavunjika mguu?
Kwa nini anayetukana asishtakiwe akafungwa kama ni kosa kisheria.
Adhabu ya matusi ni kumteka mtu na kumuua kabisa?
Padri Kitima nae alikuwa anatukana sana matusi?
Nyani haoni kunduleKifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??
Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Tanzania na Afrika kuna Ujinga fulani wa kikomunisti, udikteta wa kuamulia watu hadi maneno ya kuongea.Mbona ulaya raia wanatukana polisi hadharani. Na police anafanya anachotaka kufanya anaondoka.
Tanzania ukimtukana mtu ni kama umeua. Tatizo lugha kueleweka.
Akikujibu ni-beep ili niingie tena JF.Mjinga Mmoja wee.
Bashungwa, Mwanasheria Mkuu, Mchengerwa, Hawakuingilia Mahakama?.
Hivi JF Ina vilaza namna hii
Asante kwa angalizo,nime withdraw ile statement ya kasimba kuitwa!Aisee umefikia hatua ya kumtakia binadamu mwenzako ? 😩
We're watching it closely.Asante kwa angalizo,nime withdraw ile statement ya kasimba kuitwa!
P
Vp mbowe alipofutiwa kesi ya ugaidi,mahakama haikuingiliwa???Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??
Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Many thinks the same as you do,thinking I'm among them!。We're watching it closely.
Since you're among "THEM" , we shall revisit.
There is a Somali proverb that goes "A cat in her house has the teeth of a lion."Many thinks the same as you do,thinking I'm among them!。
I'm not one of them!。Mimi ni mzalendo stand alone!。
P
Ana aliye sema hichi ni kitabu tu?? Na anaye shindwa kulinda haki za watu kufuatana na Katiba??Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??
Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Kaachiwe kwa sababu tuhuma ni za uongo au kaachiwe kasamehewe??Nchi zote duniani,zinatawaliwa na sheria 2, sheria za kitaifa,local laws or domestic laws, na international laws ambazo Tanzania tumezisaini na kuziingiza kwenye domestic laws likiwemo tamko la UDHR,nchi yoyote ikikiuka haki za binaadamu,inashukiwa kama mwewe!。
Japo kila nchi inapaswa kuwa huru na kutoingiliwa mambo yake ya ndani,sovereignity yake,lakini inapokiuka haki za binaadamu,hili sio jambo la ndani,ni jambo la kimataifa,ninashauri kale kasimba ka Kizimkazi kwenye ile cage,kaachiliwe tuu,katatuepushia mengi!
Tumemshauri bora tuu akaachie hako kasimba ka Kizimkazi,kanatuchafulia bure hali ya hewa kwa noise polution kutoka kila kona!,Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?
Na hapo ni hivi vi bwanamdogo EU, very soon,kaka mkubwa US,ataingilia kati!
Kaachiwe tuu!。
P
Hakuna treason pale!Kaachiwe kwa sababu tuhuma ni za uongo au kaachiwe kasamehewe??
Huo uhuru wa mahakama kama upo kwa nini kesi ya wake 19 haijatolewa maamuzi, baada ya wao kukata rufaa ni zaidi ya miaka sasa,umewahi kuuliza nini kinafanya mahakama isitoe uamuzi. Ili akili yako ijue mahakam itaamua mara baada ya bunge kuvunjwa.Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??
Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Nilivyo soma katikati ya maelezo yako kauli kuu ni hakuna uhaini.Hakuna treason pale!
wamemshika kumkomoa tuu!。 Nimeshauri kaachiwe ili tuu kutuondolea hizi。kelele!Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?
- Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!
- Pre GE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason!
P