Bunge la Ubelgiji lapitisha azimio la kuiwekea Rwanda vikwazo

Unastawi kwa mali za wizi kutoka congo. Acha wamnyooshe, wanajua atakwama wapi. Maana hayo madini anayoyaiba congo hatayauza.
 
Hakuna jipya na hilo.

Hao walishaiwekea vikwazo na vigingi Rwanda na Kongo toka enzi na enzi.

Maigizo tu.
 
Mzungu mnafiki sana. Usikute walipishana na Kagame kwenye kugawana maslahi. Ila mabwege watasema Ubelgiji inaitakia mema Congo.
 
Nchi zote jirani zinamuogopa Paul Kagame.
Hovyooo "Any military intervention to sovereignity state will be subjected as unacceptable military invasion and destabilizing sovereignty and freedom so any unacceptable invasion wili be strongly condemned and sanctions will be implemented unlikely war declared" watu wanaheshimu mikataba ya kimataifa mzee sio unavyofikiria maana uliingia kichwa kichwa jumuiya za kimataifa zitapata sababu na kuanza vikwazo vitageuka
 
Kafunga na kuwapoteza wapinzani nje na ndani ya nchi. Ni MTU hatari sn.
 
Yaani waAfrica wenyewe tumemshindwa PK mpaka wazungu watusaidie, Tishekedi naye ameshindwa kulinda mipaka ya nchi yake sasa anaziweka rehani rasirimali za Taifa lake.
Hakuna aliomshindwa ni dhaifu sana angekua bila sapoti ya MAGHARIBI, hivyo magharibi hao hao ndio wameona wamteme, hapo sasa hata Atadhoofika kabisaa
 
Needless to say dictator Paul Kagame's halcyon days are drawing to an end, his one time long list of friends is quickly diminishing and is now surviving with only handful of sycophants who are the beneficiaries of his over quarter century tyranny.
 
Huyu ni vampire mzee ashamwaga damu ya kutosha
 
Kuna binadamu wao addiction zao ni vita bila kupigana hana raha ili ajione mtu lazima kuwe na vita watu wafee yeye ndio raha yake na ndio mfano wa viongozi kama museven , kagame na the like..
 
ulafi wa madaraka na kujilimbilikizia mali na kujiona ni mkuu sana kuliko wengine ndio balaa linapoanzia.
 
Tuache unafiki silaha za m23 zinapita bandari ya Tanzania au Kenya hakuna kwingine kama mnataka ni kuzuia silaha za Rwanda zisipite bandari za Kenya au Tanzania wabebe kwenye ndege zikatue kigali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…