milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
By
Malori ya makondainer ni mamia kwa maelfu yanapitishwa usiku na mchana
Zinapitia Tanga, Moshi, Babati,singida,Kahama,Nyakanzi, Rusumo ,Rwanda.Tuache unafiki silaha za m23 zinapita bandari ya Tanzania au Kenya hakuna kwingine kama mnataka ni kuzuia silaha za Rwanda zisipite bandari za Kenya au Tanzania wabebe kwenye ndege zikatue kigali
Malori ya makondainer ni mamia kwa maelfu yanapitishwa usiku na mchana