Mdogo mdogo Fido Dido ataelewa somo.
Tshisekedi japo kaingia mkataba na shetani lakini hapa atafanikiwa kumdhibiti Kagame.
Jeuri na nguvu ya Kagame ilitoka kwa kuwa kwake dalali wa Wazungu kupata mali za Congo, sasa ikiwa wana uwezo wa kuzipata bila ya dalali watampiga chini Kagame, na hapo ndio ukomo wa kiburi chake.